Daktari amemshauri mama mwenye umri wa miaka 70 kufanyiwa operation ya GOTI (corrective wedge osteotomy). Nimekuwa nikisikia kwamba hi ioperation sio nzuri kwa watu wenye umri mkubwa.
Tatizoni kuwa mgonjwa ana maumivu makali na hawezi kutembea umbali mrefu au kupanda kilima.
Naombeni maoni yenu kuhusu hili.
Tatizoni kuwa mgonjwa ana maumivu makali na hawezi kutembea umbali mrefu au kupanda kilima.
Naombeni maoni yenu kuhusu hili.