corrugated iron machine (Mashine ya mabati) na misumari

corrugated iron machine (Mashine ya mabati) na misumari

mor112

Member
Joined
Mar 6, 2010
Posts
16
Reaction score
0
Nataka ushauri jamani

Nataka ushauri wakuu huhusu machine yaa kutenegeza mabati (corrugated iron machine) na misumari, (nail machine) Niliambiwa kwamba kuna kampuni inatengeneza mabati na misumari in Dar, na mabati na misumari mengine yanaletwa kutoka inje kama south africa, Je nikileta machine hizi zinaweza kuleta faida ? Jee bati/msumari kilo moja ni sh ngapi ? je mabati/misumari aina gani intumika tanzania ? size diameter gani ? Mpango wangu ni kuzipeleka machine hizi mikoani, Je unaweza kushauri mkoa gani ?

Shukrani wakuu
 
Bati na misumari ndio materials zinazotumiwa na Watanzania wa kada zote kuezekea nyumba zao.
Mwanza itakuwa ni location nzuri kwa sababu utafanya biashara na eneo lote la kanda ya ziwa mpka Kigoma, Singida na Tabora.
Misumari kg 3000
Bati bei inategemea haina ya bati.
 
Yes kuna makampuni yanatengeneza misumari na bati bongo:

Jeje industries ltd

Import international ltd

Morogoro wire rolling ltd

Kilo moja ya misumari ina range kuanzia TZS 2500 hadi 3000

Hii ni biashara ambayo itakulipa sana, mimi pia nataka kufungua kiduka changu cha hardware huko mkoani. Nitakuwa naagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom