Nataka ushauri jamani
Nataka ushauri wakuu huhusu machine yaa kutenegeza mabati (corrugated iron machine) na misumari, (nail machine) Niliambiwa kwamba kuna kampuni inatengeneza mabati na misumari in Dar, na mabati na misumari mengine yanaletwa kutoka inje kama south africa, Je nikileta machine hizi zinaweza kuleta faida ? Jee bati/msumari kilo moja ni sh ngapi ? je mabati/misumari aina gani intumika tanzania ? size diameter gani ? Mpango wangu ni kuzipeleka machine hizi mikoani, Je unaweza kushauri mkoa gani ?
Shukrani wakuu