kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Mpira mapumziko naona bado tupo mbele kwa goli 2 kwa buyu.Haya... lakini mimi nasubiri hadi dakika za mwisho mwisho ndio nishangilie, kwa sasa hmm...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira mapumziko naona bado tupo mbele kwa goli 2 kwa buyu.Haya... lakini mimi nasubiri hadi dakika za mwisho mwisho ndio nishangilie, kwa sasa hmm...
Dakika 45 zimekwisha mkuu bado tunaongoza kwa 2-0Hilo ndio la msingi, mimi huwa sio shabiki wa soka, lakini kwenye timu ya taifa, huwa nakuwa mzalendo kwa Utanzania wangu...
HahahahahahahaHawawezi kufika popote!
Ni sawa na kujisifia kushika nafasi ya kwanza katika darasa la wajinga
Chanel gani Mkuu?Kuna watu hamjui
Kuna chaneli ipo Free inaonyesha mechi zote hizi
Hakuna uzalendo kwenye tim mbovuHilo ndio la msingi, mimi huwa sio shabiki wa soka, lakini kwenye timu ya taifa, huwa nakuwa mzalendo kwa Utanzania wangu...
Uhai TvChanel gani Mkuu?
Mkuu ila kwa leo tumeshindaHawawezi kufika popote!
Ni sawa na kujisifia kushika nafasi ya kwanza katika darasa la wajinga
Mkuu tumeshinda 2 -0Hakuna uzalendo kwenye tim mbovu
Kuna vitu huwezi kukwepa, utabaki kuwa Mtanzania tu hata ukijidai hushangilii...Hakuna uzalendo kwenye tim mbovu
Timu yangu ya taifa ya Zanzibar ipo njiani inakujaKuna vitu huwezi kukwepa, utabaki kuwa Mtanzania tu hata ukijidai hushangilii...
Ila kiukweli timu yetu tia maji tia maji, ni kama homa ya vipindi...
Hongereni sana, nitakuja kushangilia siku ambayo angalau mkifuzu ligi ya mabara ya AfricaMkuu tumeshinda 2 -0
Kila la heri...I
Timu yangu ya taifa ya Zanzibar ipo njiani inakuja
Angalia kwenye mtandao au google "COSAFA 2017" Utapata uhakikaBado siwaamini, maana timu yetu ni kama homa ya vipindi...