COSAFA cup 2017 Taifa stars inaongoza 2-0 dhidi ya malawi

Kuna watu hamjui
Kuna chaneli ipo Free inaonyesha mechi zote hizi
 
Goooaaaallll!!laah!laah!vichwa vya mwendawazimu wanaponea chupu chupu hapa!
 
I
Kuna vitu huwezi kukwepa, utabaki kuwa Mtanzania tu hata ukijidai hushangilii...
Ila kiukweli timu yetu tia maji tia maji, ni kama homa ya vipindi...
Timu yangu ya taifa ya Zanzibar ipo njiani inakuja
 
Wamalawi ndo hao wanaotunishia msuri wanaume ziwa Nyasa, kipigo zaidi ya hicho watakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…