Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kweli kabisa, mzembe kwenye hiloAnaachia sana uso,hawezi kabisa kujilinda,kwenye kona anapotakiwa kushambulia yeye anarukaruka tu,akalimw vitunguu tu kwa kweli sio kucheza ngumi
Acha upuuzi mwanajeshi katandikwa hadi karuka kichwa...Cheka yupo vzrHuyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .
Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
alipigwa na mmalawiNimemfatilia sana cosmas hakuna kitu mule tatzo la wabongo baba,kaka,dada akiwa fani flan basi wanàofata nao watataka kupita humohumo hata km kipaji hakuna km ulivyosema ipo siku atafia ulngoni kuna pämbano alichapika sana kwao morogoro
hujui kituAcha upuuzi mwanajeshi katandikwa hadi karuka kichwa...Cheka yupo vzr
Acha upuuzi game tunaangalia hapa mwanajeshi katandikwa vizur tu wamembeba Na Cheka kacheza vzr sana kwanza hakuwa anampa nafas mjeshi kila wanapotulia yeye anakuwa wa kwanza kurusha ngumihujui kitu
habari za morogoro mkuuAcha upuuzi game tunaangalia hapa mwanajeshi katandikwa vizur tu wamembeba Na Cheka kacheza vzr sana kwanza hakuwa anampa nafas mjeshi kila wanapotulia yeye anakuwa wa kwanza kurusha ngumi
Pambano lilikuwa zuri 50 50Cheka mbona kacheza vizuri round 3 za kwanza, anajab vizuri. We ulikuwa unaangalia pambano lipi?
Ni kweli ngumi aachane nazo ...sijaona alichokifanya toka roundi ya 2 hadi 10, zote alipoteza tnba kwa hovyo kabisa.Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .
Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
kuna game moja ilichezwa morogoro dhidi ya Mmalawi , cosmass alipigwa round zote ila akapewa ushindiNi kweli ngumi aachane nazo ...sijaona alichokifanya toka roundi ya 2 hadi 10, zote alipoteza tnba kwa hovyo kabisa.
Roundi ya 7 hadi kumi akageuka akawa mzee wa kukimbia ili mda uishe asipigwe KO.
Hamna kitu humo.
We umechanganya Mechi ya cheka na Dullah mbabe vs Twaha. Mechi ya Cheka iliisha mapema baada ya foul kutokea, waligongana vichwa na kupasuana.Ni kweli ngumi aachane nazo ...sijaona alichokifanya toka roundi ya 2 hadi 10, zote alipoteza tnba kwa hovyo kabisa.
Roundi ya 7 hadi kumi akageuka akawa mzee wa kukimbia ili mda uishe asipigwe KO.
Hamna kitu humo.