Bwna eee mi naongea mechi na Dullah na Twaha Kiduku...huyo Dullah kanyukwa kuanzia round ya 2 hadi kumi - hamna kitu mle.We umechanganya Mechi ya cheka na Dullah mbabe vs Twaha. Mechi ya Cheka iliisha mapema baada ya foul kutokea, waligongana vichwa na kupasuana.