Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

GPS vs block system! Be frank my friend which one is technological advanced system!? 😅☝
 
GPS vs block system! Be frank my friend which one is technological advanced system!? 😅☝
Once again comparing things that cannot even begin to be compared!!!!!!!! your ETCS also uses a block system know as "Moving block system"
GPS is an accurate positioning system that can be used to accurately and continuously pin point the position of the train as in moves along the track..
 
picha na video nyingi za SGR kenya hua zimechukuliwa na wachina ili waonyeshe progress ya project huko uchina kwa facebokk na youtube na forum za kichina manake kule uchina akina Youtube hua zimebaniwa........ maranyingi hua picha za SGR kenya hua zimetolewa kwa forum za kichina..... Screenshots kutoka kwa youtube ya Kichina 中交一公局集团有限公司内马铁路铺架施工简介_腾讯视频


Suswa









 
Under specific permission PR stunt!
 
Under specific permission PR stunt!
Competition hufanywa in collaboration with media association of Kenya ili kuhakikisha professionality.... MAK ndo inafanya kila kitu from betting to confirmation Kama ni original work lakini unaruhusiwa ku submit picha zako zozote kwa gallery, CRBC inaprovide transportation kutoka Nairobi hadi mombasa lakini haichagui wapi picha zitapigwa.....

Besides, Kenya Railways wenyewe pia hiua wanapiga picha Mara kwa Mara , feats Facebook au twitter handle Yao
 
Haya, wasanii wa filamu, bongofleva, muziki wa dansi na wanamichezo karibia wote wa Dar leo wametembelea ujenzi wa SGR...
 
Haya, wasanii wa filamu, bongofleva, muziki wa dansi na wanamichezo karibia wote wa Dar leo wametembelea ujenzi wa SGR...
Vizuri. Acha hawa watembelee hapa nao viongozi wa dini wakawashutumu wale wanaochinja watoto na kula viungo vyao
 
KIla contena hupimwa uzito juu ya hii weighting scale kabla kutoka nje ya Bandari Mombasa, Pia Urefu wa treni hupimwa...

 
KIla contena hupimwa uzito juu ya hii weighting scale kabla kutoka nje ya Bandari Mombasa, Pia Urefu wa treni hupimwa...

What's so special? our Dar port has scan machines to screen containers while a train in motion! Yet u talk of a weight scale!

 
What's so special? our Dar port has scan machines to screen containers while a train in motion! Yet u talk of a weight scale!

Mbona unajishuku kiasi hichi, sio kila kitu ni attack on your SGR, mi naonyesha sensors ambazo zinatumika kupima uzito na urefu wa kila contena wakati treni inatoka bandarini.... Sijataja Tz, we tayari unachukulia nimekuingilia!!!!
Najua hata ETCS ambayo mtaeka itakua na sensors kama hizo ambazo zinahesabu mabehewa baada ya km kadhaa ili kuhakikisha hakuna mabehewa mengine yameanguka au kuwachwa nyuma... Ssio kila kitu ni competition
 
Maintenance, Management, Repair........ Waanafunzzi ambao wamekua wakifaanyiwa mafunzo tangu 2016 pole pole wanaanza kupewa majukumu makubwa na mwishowe baada ya miaka mitano inatarajiwa wataachiwa majukumu yote..

Train Inspection


















Sehemu ambayo bado Wakenya hawajaachiwa ni Traffic command and Control ambapo ukibofya vibaya unaweza kufanya treni mbili zigongane, Kuna wakenya kadhaa kama 24 wametumwa Jiotong University kule China Kusomea ku operate hio traffic controll system

 
Miaka mitano? Kwani nyie ni vilaza kiasi gani?
 
Miaka mitano? Kwani nyie ni vilaza kiasi gani?
Kenya inaishinda Tanzania kwa World banks Human Capital Index (HCI) ambayo hupima productivity ya wafanyikazi 😀😀😀😀
Ku manage na ku maintain Reli inahitaji watu ambao wana develope culture ya Military precision, Kutoka kwa kufanya scheduled maintenance, time keeping.....
kwanini tujidanganye, Tungefundiswa na kuwachiwa wakenya siku ya kwanza ingekua tayari treni zishaanza kuchelewa na nyengine zingekua zishawekwa kwa garage kama vile tulivyofanya meter gauge... The only reason Thika Highway haina potholes Miaka kumi baadae ni kwasababu kwa kandarasi kulikua na dili kwamba contractor atatengeneza kampuni ambayo itakua inafanya marekebisho yoyote "within 7 days", miaka 4 ya kwanza kampuni hio ilikua inaongozwa na engineers wachina wakifundisha work ethic wakenya jinsi ya kufanya long term mainatance.... Hivyo ndo wakenya wakaanza kuzoea work ethic ya kufanya maintenance hadi sikuhizi utaona kila baada ya mwezi kuna wafanyikazi wanafagia barabara na kuondoa uchafu kwa mitaro, barabaara inakaa mpya utadhani ilijengwa mwezi jana.... Kama tungeachiwaa hivi hivi ingekua hio barabara haingaliki sahii....


Kwahivyo kama ilionekana tunahitaji miaka 5 ndo tuwe na culture ya work ethic basi tuwache hivyo, nyinyi huko Tz mkijiamini na kuharakisha kuchukua uskani siku ya kwanza ili mjisifu kamba si vilaza hio itakua ni kwa raha zenu! Pia mnaweza kufanya hivyo kwa ma engineer na marubani wenu kwa ile ATCL yenu, shauri yenu
 
Hiyo miaka mitano (10) ni matokeo ya mkataba wa kijinga mliosaini. Yani kila siku graduate (engineer) una amka asubuhi unaenda kujifunza kazi ile ile kwa miaka 5!! labda utuambie hao wakenya watakao achiwa hizo kazi bado wako High school.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo mengine kama haujaui afadhali unyamaze.....
Pale mwanzo ilikua unakuta Wachina ndo wanafanya Kazi zote muhimu za engineering, Wakenya na nguo zao safi wanaangalia tu na kuandika..
Ikaja wakati unaona wachina bado wanafanya kazi kubwa kubwa wakenya wanafanya ndogo ndogo...

Sahii unaaza kuona Wakenya ndo wanafanya kazi kwa mitambo critical lakini supervisor anayewasimamia bado ni Mchina .... Baada ya miaka mitano ndo inatarajiwa wafanyikazi 99% wa kila kitu watakua ni wakenya ndani ya hio kamuni ya Kichina iliopewa kandarasi ya Maintenance, hio kampuni ndo itaendelea kufanya Maintanance and repair kwa miaka miengine mitano ikimanage hao wakenya, mda huo ukiisha ndo kampuni hio itamilikiwa na Kenya Railway......

------
Lakini mijitu kama nyinyi ambao hamjasoma ripoti ya hayo makubaliano mnafungua midomo bila kujielewa mnaongelea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…