Kuna mashindano ya SGR photography competition hufanyika kila mwaka tangu 2017 ambapo wakenya wanashindana kupiga picha na mshindi atakaetoa picha nzuri zaidi anatuzwa na CRBC... Fwatilia hii channel uone cometiotion ya 2017
SGR Photography Competition
Mshindi wa huo mwaka alipewa 400,000 Ksh ambayo ni sawa na Tsh 9,257,080 m
The photographers were requested to submit their original works for consideration. The top 25 pictures and the photographers were to be selected for a chance to compete for the top prize in the competition.
The award gala to announce the winners took place on April 21, 2017 in Nairobi.
- The top prize was KShs 400, 000, the runner up KShs 200,000 and the third position KShs 100,000.
- There was also cash prizes for 7 auxiliary positions.
Kisumu Based Photographer is 1st Runners Up in the SGR Photography Competition - Amazing Kisumu
Hata wewe ukitaka 9 Million Tzh unaweza ukapiga safari na Camera yako ujisajilishe ya Competition ya SGR phase 2 mwaka huu
Washindi tofauti
Huyu jamaa ndo alishinda 2017
CRBC awards winners of the 2017 edition of the SGR photography competition | CGTN Africa