Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Geuza ulale, huko kweni corruption inafanyika tu chini ya maji. Ni vile nyinyi ni waoga.
Siku ile Tz itapata uhuru wa wanahabari, ndo watajua ufisadi ulivyokidhiri katika nchi yao….Hii data wao hutuletea hapa ni ile habari njema inayotolewa na media ndo kumsifia jiwe JPM....Zile habari mbovu za ufisadi, uhuru wa wanasiasa na wanahabari haziletwi…...hawa watu wako era za 90's bana…..
 
Carica papaya badili tu hiyo papayo yako mbofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…