Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapo umesema, "(wrong Cape gauge railway illiterate Kunyan Reporter always amazes)"........ Where is is the literate hard working Tanzanian reporter to accurately report developing news concerning Tanzania???? You had to rely on Kenyan reporter to inform you about your own country!!!!!
 
station zao zipo outdated dedign ya chinese palace au korea palace in 1890's[emoji316][emoji316]
Fyuuuu... fomu fyuuuu.... Haha inafurahisha Sana mkijaribu kujiliwaza kwasababu uchungu umepita kiasi !!!!! Usijali hauko pekeyako, kwenye comments za YouTube kuna mpaka wamarekani manamwaga povu eti watatafuta sababu ya kutupiga Vita ili waie wazirushie makombora hizo stesheni na kuzilipua Hadi zibaki magofu.
 
naona umemtoa povu tuusan...bwahaaaaaa...amesahau km wanajisfu na the modern airport....heheheee
Yani unafananisha airport Na kituo cha gari Moshi [emoji16][emoji16][emoji16]

Misisahau kurekebisha vyoo vyenu
 
Train station?inasaidia nn
Watu elefu NNE hupitia stesheni ya Mombasa na Nairobi kila siku ! In fact Nashuku hizo stesheni zitakua hazitoshi mboga SGR ikifika Hadi Kisumu...
Stesheni ambayo nimeona hua haina abiria wengi ni stesheni ya Maissenyi lakini hizo zengine za inter-county hua ziko busy pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…