Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mturuki Mungu anawaona walai...yani mabehewa+vichwa kando...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wao ni reli tu...mamaweee...hawa jamaa wamepigwa..
Pia vichwa vya treni bei ni kando
 
Mruruki Mungu anawaona walai...yani mabehewa+vichwa kando...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wao ni reli tu...mamaweee...hawa jamaa wamepigwa..
Usiwapatie pressure ya bure😛 kwasasa tuwangojee waagizie kila kitu kando kando alafu tutawajumlishia total cost of the project.
 
Duh!!kisha wanakuja kulinganisha reli yao na yetu..eti tao ni cheap...kumbe zile hela ni za kutandaza reli pekeake...

Hawajui kenya ile hela imeenda katika upanuzi wa bandari,kujengea dry port na chuo cha reli km sikosei
Usiwapatie pressure ya bure😛 kwasasa tuwangojee waagizie kila kitu kando kando alafu tutawajumlishia total cost of the project.
 
Kenyan railway is best in this region. Your railway can't and won't manage double stacked wagons because it's of low quality.
Una uhakika mkuu? Maana kwenye tender iliyotangazwa kuna 50 wagons za double stack containers.

Nadhani tofauti kubwa ya reli hizi ipo kwenye financing modality na aina ya treni zinazopita ie umeme/diesel. Hizo nyingine ni tofauti za kawaida tu.
 
Majamaa wana upumbavu wa kuzaliwa pitia hii thread uone ubishi wao tangu mwanzo! Cha kufanya wapuuzie siku mzigo unashushwa unawawekea picha!
 
Leta hiyo tender hapa tuone.
Una uhakika mkuu? Maana kwenye tender iliyotangazwa kuna 50 wagons za double stack containers.

Nadhani tofauti kubwa ya reli hizi ipo kwenye financing modality na aina ya treni zinazopita ie umeme/diesel. Hizo nyingine ni tofauti za kawaida tu.
 
THis Bridge is 46 meters tall

Same height as this building
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…