Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #3,681
TRC opening another port in Uganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRC opening another port in Uganda
Wapi viongozi wa Kenya? KR?kumbe hi unajua hakuna mtu huangalia hizi video especially if they are more than 10min long, ndo unatudanganya na caption za uongo... Tz is not opening a port inside Ug. Taarica inasema more than once ndani ya hio video kwamba Uganda imetenga bajeti ya KU rehabilitate hio port. Alafu mwakilishi was WFP Tanzania (who happens to be a Tanzanian) ndo anasema wametaka kutumia hio port kusambaza chakula kutoka Tz kwenda kwa warehouse yao ambayo iko karibu na hapo....
TRC na TRA wameenda tu hapo for familiarization tour kuangalia kama meli za kutoka Tz zitaweza kutua na kama hio rail link iko hali ghani ili kuwezesha hao WFP kusafirisha mizigo ... Hakuna hela yoyote wanatoa Wala hakuna lolote watapewa wamiliki.
Ni kama vile kampuni za meli zikituma delegation kule Lamu port, si eti wameenda 'kufungua port ' nyengine hapo, tutasema wameenda kukagua port ili kuangalià kama meli zao zitaweza tua hapo bila matatizo na kutakua na vifaa vya kutosha.
BTW hapo mwisho mwisho umeona hizo wagon ziko na bendera ya Kenya? Hakuna kitu kina zulia Kenya kufikisha mizigo hapo kisumu port ikianza kufanya kazi. Itabidi waanze na kuturegeshea hayo mabehewa yetu waliokua wamebaki nayo!
Mli launch bandari yenu ya Mwanza kabla mtembelee za wenzenu, wacha sisi tu launch yetu next week kabla tuanze kutembelea za watu.Wapi viongozi wa Kenya? KR?
Hawa Kenya Railways walipata wapi pesa ya kujenga hili jumba ilhali tunajua wanapata loss
![]()
![]()
Hiyo ndio kazi ya mreno hapo.Jamaa wa tunnels wako fast sana....