Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

kutoboa miamba haihusiki na phase I Dar-Moro miamba ile ipo Kilosa na Kilosa ni kati ya Moro-Dodoma yaani phase II Morogoro-Makutupora.
 
kutoboa miamba haihusiki na phase I Dar-Moro miamba ile ipo Kilosa na Kilosa ni kati ya Moro-Dodoma yaani phase II Morogoro-Makutupora.
hizo tunnels zitatudhirisha if you'll double stack or not and from a photo I've seen, I don't think so but we'll wait. Time will reveal.
 
hizo tunnels zitatudhirisha if you'll double stack or not and from a photo I've seen, I don't think so but we'll wait. Time will reveal.
Muna matatizo ya akili nyie ww unafkiri mchina huyo anaejenga 😆😆😆
 
Si bora ingekua mmealika mabalozi wa kutoka nchi mbali mbali walioko hapo Tz ili ku wauzia hio SGR yenu nzuri ndo wapeleke habari kwa nchi zao husika.....

Yani mliketi chini na mkaamua matumizi ya pesa zenu ni bora mkate tiketi kwa mabalozi wenu watanzania muwaregeshe nyumbani waje watembelee SGR, faida yake ni nini?
 
They came back for SADC since each ambassador is to assume chairmanship of SADC in his respective country!

wamefika kuhudhuria kikao cha Sadc haya unayoyaona ni ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…