Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ona hizi treni chakavu za Mturuki yaani mitumba alafu udongo kando ya reli wameuacha uchi kabisa .Wakati mafuriko yatakuja hii reli itaporomoka na kua watu wengi hapa WaTzed wamechezewa karata.
Unajipa moyo eeehh
 
Hapo si shamba... Nyasi itapandwa na kumea..

Tunajua wakenya wanapenda kulima kando ya barabara baada ya kenyatta na wenzake kuchukua ardhi kubwa.
 
Duh! Yani mpaka marekani yanunua treni za China tena enzi hii ya D.Trump!!! How times have changed
Jimbo la Boston lanunua treni na kuekewa new signaling system ya China kwa dili ya $600m

Jimbo la Boston lanunua treni na kuekewa new signaling system na Chinakwa dili ya $600m

Hizi ni gari moshi!

USA are held hostage by oil cartels. They can't have any electronic trains!

They are stuck in 1900 era technology.
 
Mwaka jana nilikua namwambia Geza kwamba Chinese railway standards ni more modern kuliko Arema standards ambazo mnatumia, akawa anabishana ... Hio Arema standards ambayo yepi wanatumia ni standards za muamerika ambaye the last time alijenga heavy rail ilikua 1950's ! Hajawai kujenga reli yoyote baada ya hapo, hizo ndo standards ambazo hawajawahi ku update, kwahivyo next time ukiona mchina anaweka vitu kama concrete protection kwa embarnkment ya reli huku kwetu msianze kusema eti ni unnecessary, just remember, Chinese standards are more updated than Arema standards. Hii ndo maana hata Yepi wanalazimika kutumia ETC2 Europe signaling system baada ya kujenga reli using Arema standards manake America haina updated signaling system ambayo Ina cater for electric rail, hata hio subways system ya Boston inabidi wachukue signaling system ya China manake hao (pamoja na Japan) ndo wako na commuter rail yenye highest frequency .
 
Hiyo reli haijaisha kutawekwa mifereji hapo! U people like to jump into conclusion!
 
Duh! Yani mpaka marekani yanunua treni za China tena enzi hii ya D.Trump!!! How times have changed
Jimbo la Boston lanunua treni na kuekewa new signaling system ya China kwa dili ya $600m

These r electrical trains! U can't compare them with what China got!
 
Duh! Yani mpaka marekani yanunua treni za China tena enzi hii ya D.Trump!!! How times have changed
Jimbo la Boston lanunua treni na kuekewa new signaling system ya China kwa dili ya $600m

Vitu vya China vinavyouzwa Marekani na Ulaya sio Sawa na vinavyouzwa Afrika. Acha kujipa moyo, ukiondoa stesheni zenu, reli na treni zenu zote ni uchafu mtupu.
Ndiyo maana kila siku mnaishia kutuonesha stesheni na si magarimoshi yenu wala low quality SGR.
 
Mwaka jana nilikua namwambia Geza kwamba Chinese railway standards ni more modern kuliko Arema standards ambazo mnatumia, akawa anabishana ... Hio Arema standards ambayo yepi wanatumia ni standards za muamerika ambaye the last time alijenga heavy rail ilikua 1950's ! Hajawai kujenga reli yoyote baada ya hapo, hizo ndo standards ambazo hawajawahi ku update, kwahivyo next time ukiona mchina anaweka vitu kama concrete protection kwa embarnkment ya reli huku kwetu msianze kusema eti ni unnecessary, just remember, Chinese standards are more updated than Arema standards. Hii ndo maana hata Yepi wanalazimika kutumia ETC2 Europe signaling system baada ya kujenga reli using Arema standards manake America haina updated signaling system ambayo Ina cater for electric rail, hata hio subways system ya Boston inabidi wachukue signaling system ya China manake hao (pamoja na Japan) ndo wako na commuter rail yenye highest frequency .

Wachina wanakuwa tofauti kutegemea na mteja. Hamna watu wenye akili Duniani sasa hivi wakajenga jointed na unelectrified railway.
 
Back
Top Bottom