Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #4,021
Wazee wa kubisha hawakosi sababu!
LIPENI DENI LA MKULIMA!Wazee wa kubisha hawakosi sababu!
LIPENI DENI LA MKULIMA!
Poleni kwa mapito. Mliowakomboa hawana shukrani.Fanya sherehe, Ndege imeshaachiwa tayari, free to resume flights...
Halafu hawajui hata sheria kwamba hawana uhalali wa kukamata ndege yetu kwa sheria zao wakati kesi ilikuwa Bongo na tayrai ilikuwa ktk settlement...sasa tutamdai pesa yote tuliyopoteza kwa wiki hii ndege yetu ilikaa pale chini OR Tambo...Poleni kwa mapito. Mliowakomboa hawana shukrani.
Tutakata viuno tukiipokea pale JNIA 🙂
Hahaha....hapa umenichekesha... Mkilipwa mni-tag. Nyie ndio mnadaiwa si wao 😃😅...sasa tutamdai pesa yote tuliyopoteza kwa wiki hii ndege yetu ilikaa pale chini OR Tambo...
Fanya sherehe, Ndege imeshaachiwa tayari, free to resume flights...
Tz level nyungine wewe hatufanani na nyie .......kitakachotokea hautoaminiHahaha....hapa umenichekesha... Mkilipwa mni-tag. Nyie ndio mnadaiwa si wao [emoji2][emoji28]
Mbona ninyi bakuli liliporudi tupu toka china hamkukata viuno pale JKIA 😁Poleni kwa mapito. Mliowakomboa hawana shukrani.
Tutakata viuno tukiipokea pale JNIA 🙂
Long time lusematic. Ndio umerejea kutoka honeymoon?☺ 😎😎Tz level nyungine wewe hatufanani na nyie .......kitakachotokea hautoamini
Duuh,nani kakudanganya hivyo.....Long time lusematic. Ndio umerejea kutoka honeymoon?[emoji5] [emoji41][emoji41]
ichoboy01Duuh,nani kakudanganya hivyo.....
halafu wewe inabidi ukaolewe huko utulie ndani uachane na hizi social network maana zitakufanya upagawe.
Sawahalafu wewe inabidi ukaolewe huko utulie ndani uachane na hizi social network maana zitakufanya upagawe.
haya ukalale sasaSawa
Hii reli gushi ya Tanzania inajengwa aina ya reja reja sana hata hakuna mashine za kuinua ama mitambo ya kisasa kupima na kusawazisha. No wonder that ancient train engine shamefully derailed.
Ati? That test engine overturned while being transported to this rail. No train has overturned on sgr! Those sleepers r more modern than those of sgr Kenya. Mind u r to support axle load of 35tons vs 25 tons for sgr Kenya.Hii reli gushi ya Tanzania inajengwa aina ya reja reja sana hata hakuna mashine za kuinua ama mitambo ya kisasa kupima na kusawazisha. No wonder that ancient train engine shamefully derailed.
chizi siyo lazima alale dampo..........Hii reli gushi ya Tanzania inajengwa aina ya reja reja sana hata hakuna mashine za kuinua ama mitambo ya kisasa kupima na kusawazisha. No wonder that ancient train engine shamefully derailed.