Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Poleni kwa mapito. Mliowakomboa hawana shukrani.
Tutakata viuno tukiipokea pale JNIA 🙂
Halafu hawajui hata sheria kwamba hawana uhalali wa kukamata ndege yetu kwa sheria zao wakati kesi ilikuwa Bongo na tayrai ilikuwa ktk settlement...sasa tutamdai pesa yote tuliyopoteza kwa wiki hii ndege yetu ilikaa pale chini OR Tambo...
 
Hii reli gushi ya Tanzania inajengwa aina ya reja reja sana hata hakuna mashine za kuinua ama mitambo ya kisasa kupima na kusawazisha. No wonder that ancient train engine shamefully derailed.
Ati? That test engine overturned while being transported to this rail. No train has overturned on sgr! Those sleepers r more modern than those of sgr Kenya. Mind u r to support axle load of 35tons vs 25 tons for sgr Kenya.
 
Hii reli gushi ya Tanzania inajengwa aina ya reja reja sana hata hakuna mashine za kuinua ama mitambo ya kisasa kupima na kusawazisha. No wonder that ancient train engine shamefully derailed.
chizi siyo lazima alale dampo..........

we wadhani vimebebwa mgongoni hivyo
 
Back
Top Bottom