Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

You know sometimes I usually wonder how you survive without brain? Please tell me any station that has been built in less populated area.
 
feasibility study yao ilikuwa dhaifu mno ndio maana uharibifu wa mazingira ni mkubwa na station zao ni kubwa tofauti na hali halisi, la maana hapo Mchina Hana la kupoteza
Punguza uzembe, Eti kujenga jengo kubwa ni kuharibu mazingira 🤣🤣🤣..
Feasibility yetu ni ya reli inayotarajiwa kukaa kwa miaka mia moja imezingatia hali zote za mazingira!!!!!! Infact, mazingira yalizingatiwa zadi ya hiyo reli yenu ambayo nimesoma feasibility study yake......

Unafikiri kwanini SGR yetu ina madaraja kibao????

Hili eneo la tzavo national park liko flat, unafikiri kwanini liko na daraja refu la zaidi ya 7km????














Hivi unajua kwanini daraja la NN park linawekwa Noise deflectors ambayo pia inazulia mwangaza wa treni ikipita na usiku, na misingi ya madaraja imechimbiwa chini zaidi ili kupunguza vibrations??













Hebu sasa nipatie mifano vipi mmnazingatia mazingira huko kwa SGR yenu
 
unajenga mitigation infrastructure baada ya kuzindua mradi yaani baada ya treni kuanza kutembea! Huu si ndo ujinga wenyewe! Unajua maana ya feasibility study?
 
unajenga mitigation infrastructure baada ya kuzindua mradi yaani baada ya treni kuanza kutembea! Huu si ndo ujinga wenyewe! Unajua maana ya feasibility study?
ni mitigation infrastructure gani imejengwa baada ya treni kuanza kutembea??
 
that noise barrier over the Tsavo viaduct was not there during the launch of Mombasa-Nairobi rail!
huu ujinga wako naona ni uridhi kutoka kwa ukoo wenyu. sio lazima ufungue mdomo kama hujui jambo. Unawaaibiaha wanalumumba wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…