Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
[emoji23][emoji23][emoji23]unaona tundu la panya buku la wakenya hiloKuna Mkenya aliuliza hivi Sgr ya Tz ni Double Stack?? Nadhani inaweza kuwa hata Three Stacks, hahaaaView attachment 1211816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]unaona tundu la panya buku la wakenya hiloKuna Mkenya aliuliza hivi Sgr ya Tz ni Double Stack?? Nadhani inaweza kuwa hata Three Stacks, hahaaaView attachment 1211816
[emoji23][emoji23][emoji23]unaona tundu la panya buku la wakenya hiloView attachment 1211887
washakalia hapo hawana ujanjaDuh, alafu mbona waliandikiwa kichina hapo juu [emoji23][emoji23][emoji23] au ili wapapaswe vizuri.
You know sometimes I usually wonder how you survive without brain? Please tell me any station that has been built in less populated area.We are all aware that no feasibility was conducted for Kenya sgr.
That's why you end up with large ghost stations at location where there's no people. As if it's not enough, the whole railway ended up termination at a bush.
Ama tuseme izo station za Kenya zina bedrooms ngapi umo ndani?
feasibility study yao ilikuwa dhaifu mno ndio maana uharibifu wa mazingira ni mkubwa na station zao ni kubwa tofauti na hali halisi, la maana hapo Mchina Hana la kupoteza[emoji23][emoji23][emoji23]unaona tundu la panya buku la wakenya hiloView attachment 1211887
ni kweli kabisafeasibility study yao ilikuwa dhaifu mno ndio maana uharibifu wa mazingira ni mkubwa na station zao ni kubwa tofauti na hali halisi, la maana hapo Mchina Hana la kupoteza
Punguza uzembe, Eti kujenga jengo kubwa ni kuharibu mazingira 🤣🤣🤣..feasibility study yao ilikuwa dhaifu mno ndio maana uharibifu wa mazingira ni mkubwa na station zao ni kubwa tofauti na hali halisi, la maana hapo Mchina Hana la kupoteza
unajenga mitigation infrastructure baada ya kuzindua mradi yaani baada ya treni kuanza kutembea! Huu si ndo ujinga wenyewe! Unajua maana ya feasibility study?Punguza uzembe, Eti kujenga jengo kubwa ni kuharibu mazingira 🤣🤣🤣..
Feasibility yetu ni ya reli inayotarajiwa kukaa kwa miaka mia moja imezingatia hali zote za mazingira!!!!!! Infact, mazingira yalizingatiwa zadi ya hiyo reli yenu ambayo nimesoma feasibility study yake......
Unafikiri kwanini SGR yetu ina madaraja kibao????
Hili eneo la tzavo national park liko flat, unafikiri kwanini liko na daraja refu la zaidi ya 7km????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi unajua kwanini daraja la NN park linawekwa Noise deflectors ambayo pia inazulia mwangaza wa treni ikipita na usiku, na misingi ya madaraja imechimbiwa chini zaidi ili kupunguza vibrations??
![]()
![]()
![]()
View attachment 1212149
Hebu sasa nipatie mifano vipi mmnazingatia mazingira huko kwa SGR yenu
ni mitigation infrastructure gani imejengwa baada ya treni kuanza kutembea??unajenga mitigation infrastructure baada ya kuzindua mradi yaani baada ya treni kuanza kutembea! Huu si ndo ujinga wenyewe! Unajua maana ya feasibility study?
Hata mi nashangaa anaongelea kuhusu nini!ni mitigation infrastructure gani imejengwa baada ya treni kuanza kutembea??
unajenga mitigation infrastructure baada ya kuzindua mradi yaani baada ya treni kuanza kutembea! Huu si ndo ujinga wenyewe! Unajua maana ya feasibility study?
that noise barrier over the Tsavo viaduct was not there during the launch of Mombasa-Nairobi rail!Hata mi nashangaa anaongelea kuhusu nini!
CC:
huu ujinga wako naona ni uridhi kutoka kwa ukoo wenyu. sio lazima ufungue mdomo kama hujui jambo. Unawaaibiaha wanalumumba wenzako.that noise barrier over the Tsavo viaduct was not there during the launch of Mombasa-Nairobi rail!
Dongo hateree sana...[emoji23][emoji23][emoji23]unaona tundu la panya buku la wakenya hiloView attachment 1211887
hatari mzee
Beni siku mbili tatu hizi amekuwa halali.hatari mzee
Watu wengi wakionaga progress Video za kila mwezi ambazo huchukuliwa na Drone ikiwa juu sana wanaona reli ipo flat. Sasa angalia location ya Photographer hapa , Angalia tuta.
View attachment 1212622
View attachment 1212623
View attachment 1212624