Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unataka proofs za nini wakati kila kitu nimeshaeleza.
 
Tanzanians defending, low-key admiring and drolling for the Kenyan SGR! First ilikua mbunge wao akatumia picha za Kenyan SGR nakusema ni za reli ya kwao. Alafu journalist wa kwao wakaanza kuzitumia kwa blog zao za uswahili. Sasa ndo hawa watz wa kawaida hapa jamii forums wanaoishi middle class tandale na manzese wameanza kuzitumia na kujipiga kifua kwamba wataendelea kuzitumia kama za kwao. Way to go east africans. Its natural for humans to be attracted to what's good.
 
Nenda kortini
 
Kwn hao wanaoweka hzo picha akili zao hazina akili nn...manake si mara ya kwanza, mpka mbunge naye siku kajipigia debe nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…