Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujenzi wa low quality rail umefika wapi Bantugbro? November ipo around the corner.
IMG_20190928_145420_121.JPG
 
Angalia viaduct inajengwa kwa ufundi na quality ya hali ya juu, wanaweka mpaka waterproofing membrane pale juu, nyie ya kwenu mliweka? ....

China Class 1 = TZARA🙂
Kuna daraja gani likakosa water proofing jameni??? Hata hio ya Tazara si ingekua imeanguka baada ya hii miaka yote na misimu ya mvua tangu 1970?
 
Kuna daraja gani likakosa water proofing jameni??? Hata hio ya Tazara si ingekua imeanguka baada ya hii miaka yote na misimu ya mvua tangu 1970?
Wacha ujinga all of ur viaducts plus embankments r having no waterproof! Even drainage system is poor! A reason this happened

sgr.jpg
 
hiv mnajisikiaje mmejenga reli ya aina hii dizain ya TAZARA kwa gharama kubwa zaidi ya electrified reli inayojengwa Tanzania

Yaani wanajivunia class one smoke powered locomotive.

They call it high speed locomotive 🙂
 
Back
Top Bottom