Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
hamna haja kufunikwa aesthetic yake itapotea steel ikisukwa halafu ikipigwa rangi then ikachanganywa na glass roof inapendeza baba zaidi ya zege asikudanganye mtu ! Halafu ni rahisi ku-repair yaani una-unscrew the steel unapachika nyingine!
angalia futuristic structures ni mwendo wa steel, glass and cladding
52000 tonnes of steel!
kwangu mie baba naona hata ilo jengo la Pugu zege kibaaooo na ningetaka steel n glass kibaooo! 😁 😁 😁Kwenye platform zitabaki wazi,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]wakenya bhana,,,,haya mambo yakushika kipaza nakuanza kusema haloo haloo kama muuzaji wa dawa za panya yadhapitwa na wakati.....yaani wameshindwa kuutouch speakers kwenye buildingnimekuelewa ulikuwa unamaanisha cladding ya majengo sio? ila nadhani anamaanisha those pillars/poles at the train platforms ("welded iron bars")? nadhani kule kwao mchina kasimamisha ma-concrete!
watajua wapi mambo ya ki-automation and ki-digitali ni mwendo wa Mchina ku-cut cost ku-attach speakers si level ya SGR class one! 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]wakenya bhana,,,,haya mambo yakushika kipaza nakuanza kusema haloo haloo kama muuzaji wa dawa za panya yadhapitwa na wakati.....yaani wameshindwa kuutouch speakers kwenye building
kweli yajayo yanafurahisha[emoji6][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watajua wapi mambo ya ki-automation and ki-digitali ni mwendo wa Mchina ku-cut cost ku-attach speakers si level ya SGR class one! [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ni kweli wangevipiga glass and steel ingetisha,kwangu mie baba naona hata ilo jengo la Pugu zege kibaaooo na ningetaka steel n glass kibaooo! 😁 😁 😁
Umekula za uso umekimbilia jukwaa la udaku! Njoo huku na ushamba wakoI should say here that it is now clear this project is way below the Kenyan Standards. If that is what you have been talking about, Pugu station!!!!!!! Ooh My, terrible, platform canopies are made of welded iron bars!!!!!!?
Not in bad faith but it is true.
Naivasha is the mother of hotels tooNaivasha is also a popular tourist destination. Hell's Gate National Park (the main locations for Lion King, including Pride Rock and the Gorge, are modelled after the park
haloo haloo hili ni tangazo maalum toka kwa mc [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naivasha is also a popular tourist destination. Hell's Gate National Park (the main locations for Lion King, including Pride Rock and the Gorge, are modelled after the park
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hey pig stop pliiiz stop unatufanya tucheke[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naivasha is the mother of hotels too
Naivasha is also a popular tourist destination. Hell's Gate National Park (the main locations for Lion King, including Pride Rock and the Gorge, are modelled after the park
SO??Hell's Gate: Seven bodies found after tour group swept away by flood
Seven people are confirmed dead after a flash flood in Hell's Gate National Park on Sunday.www.bbc.com
Nakumbuka ukicheka rail platform za Kenya last month, hahahahahaha kumbe ulikua haujaona zenu hahahahahaha, yes mawweka steel pillars alafu wakaweka Mabati kama canopy, Mabati!!1! hahahahahahzitafunikwa kivip? sijaelewa nadhani sakafu tu ndo itakuwa covered si pillars/poles? ama? Nchi zote zilizoendelea ni mwendo wa steel pillars!
OK, angalauNaivasha is the mother of hotels too
Hizo mashini pia hutumika hukuhapo ni pakiboya mzee
That's not Kenya!