Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #4,541
But Blaise Diagne International Airport is outside Dakar in another town in another region called Thies! Idiot kanyambe!
My next screen saver
Hawaruhusiwi kupiga picha, kumbuka hii ni Mali ya wachina iliopo kenyaChinese photo 🙂 Yaani hamna camera?
You have to wait for photos to be taken by chinese so that you share. Bure kabisa! Failed state!
Si unajua nchi za kijamaa ndo huwa mnapenda ku controll wananchi na propaganda nyingi sana... Hii ndio maana mko na hadi Reli TV ili kulisha wananchi propaganda kutoka kwa mdomo wa serikali.... Vile vile pia, hao wachina hua wanapiga picha nyingi sana na kuzipost kwa forum za serekali kule uchina ili kuwaonyesha wananchi wao kwamba wako kazini... hata picha nyingi ambazo hua tunapost hapa zimetoka kwa forum za kichina.Chinese photo 🙂 Yaani hamna camera?
You have to wait for photos to be taken by chinese so that you share. Bure kabisa! Failed state!
Si unajua nchi za kijamaa ndo huwa mnapenda ku controll wananchi na propaganda nyingi sana... Hii ndio maana mko na hadi Reli TV ili kulisha wananchi propaganda kutoka kwa mdomo wa serikali.... Vile vile pia, hao wachina hua wanapiga picha nyingi sana na kuzipost kwa forum za serekali kule uchina ili kuwaonyesha wananchi wao kwamba wako kazini... hata picha nyingi ambazo hua tunapost hapa zimetoka kwa forum za kichina.
Huku Kenya na wakenya wenyewe hua tunachukua pia kibao, lakini huko Tz ni nadra sana kuona wananchi wenyewe ndo wanapost picha, ndio maana kule skyscrapercity, forum za kitanzania hua zinaboesha sana manake wananchi hawajishughulishi kuchukua picha... alafu hua wanahabari nao hata hawajishughulishi kuchambua lolote... Hadi leo sijawai kuona mazungumzo serious kuhusu reli ya TZ.... Kuna watu kama kina zito kabwe wanapinga kwasababu za upinzani, na kuna watu wa upande wa CCM wana support kwasababu za ki serekali.. lakini zaidi ya hapo hakuna mtu amefanya uchambuzi wa kindani wa aina yoyote....... anyway, waha nisichukue mda wako na story nyingi, endeleeni kutuletea mavideo ya Reli TV
Picha za wakenya ziko kibao, lakini nikukuulizia za Watz utakimbia sasa hiviBora umekubali Chinese Communist party wamewakataza picha. Mpaka mnachapwa viboko mkidhubutu kupiga picha 🙂
Mchina kweli ni dawa ya mkenya!
Picha za wakenya ziko kibao, lakini nikukuulizia za Watz utakimbia sasa hivi
I always said that this project will end in October 2020 and by that time Makutupora one will be at 70% maybeSGR Phase I: 70% and counting...
MY TAKE
If the cable stayed bridge will need 3 months to complete, the December 2019 deadline for the project completion won't be met. 😡
October is far! In the next 6 months!I always said that this project will end in October 2020 and by that time Makutupora one will be at 70% maybe
port to dar station, what's the plan?October is far! In the next 6 months!
They will have to build a branch possibly from Keko/Chang'ombe area!port to dar station, what's the plan?