Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapa kazi tuu
nufietixsjqdklsxun5bb12679ed759 (1).jpg
 
Sikujua niweke wapi na sikutaka kuanzisha mada mpya.. so nitaweka hizi picha hapa..

Nairob commuter Rail refurbishment/rehabilitation.. The rail network is like 100km long withing Nairobi and metro region... I wish they would have jut uprooted the railway and built a new one instead of refurbishing the old one.
EHv9wPSWoAABlIk

EHv9wPUX4AAMtHr

EHv_0G9X0AAowIf

EHv_0G9XkAAbiQk

Ukarabati wa reli yenyewe bado unaendelea

EHv_8IJW4AIuEPz
 
Chinese photo 🙂 Yaani hamna camera?

You have to wait for photos to be taken by chinese so that you share. Bure kabisa! Failed state!
Si unajua nchi za kijamaa ndo huwa mnapenda ku controll wananchi na propaganda nyingi sana... Hii ndio maana mko na hadi Reli TV ili kulisha wananchi propaganda kutoka kwa mdomo wa serikali.... Vile vile pia, hao wachina hua wanapiga picha nyingi sana na kuzipost kwa forum za serekali kule uchina ili kuwaonyesha wananchi wao kwamba wako kazini... hata picha nyingi ambazo hua tunapost hapa zimetoka kwa forum za kichina.

Huku Kenya na wakenya wenyewe hua tunachukua pia kibao, lakini huko Tz ni nadra sana kuona wananchi wenyewe ndo wanapost picha, ndio maana kule skyscrapercity, forum za kitanzania hua zinaboesha sana manake wananchi hawajishughulishi kuchukua picha... alafu hua wanahabari nao hata hawajishughulishi kuchambua lolote... Hadi leo sijawai kuona mazungumzo serious kuhusu reli ya TZ.... Kuna watu kama kina zito kabwe wanapinga kwasababu za upinzani, na kuna watu wa upande wa CCM wana support kwasababu za ki serekali.. lakini zaidi ya hapo hakuna mtu amefanya uchambuzi wa kindani wa aina yoyote....... anyway, waha nisichukue mda wako na story nyingi, endeleeni kutuletea mavideo ya Reli TV
 
Bora umekubali Chinese Communist party wamewakataza picha. Mpaka mnachapwa viboko mkidhubutu kupiga picha 🙂

Mchina kweli ni dawa ya mkenya!

Picha za wakenya ziko kibao, lakini nikukuulizia za Watz utakimbia sasa hivi
 
SGR Phase I: 70% and counting...

MY TAKE
If the cable stayed bridge will need 3 months to complete, the December 2019 deadline for the project completion won't be met. 😡
I always said that this project will end in October 2020 and by that time Makutupora one will be at 70% maybe
 
Back
Top Bottom