Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ndugu zetu mmekosea sana kuuza haki zenu za msingi kwa hao wachina mkidhani mnaboresha kumbe mnauvaa mkenge
Huwezi nambia kwamba gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya tren ni kubwa kuliko barabara na bado hao wakoloni mmewapa rights za kisheria kusafirisha shehena zote zinazotia timu hapo bandarini kwenu
Yaaani ni uhuni usiokubalika
Ndo maana sie tulipiga chini limpango feki la bandari ya bagamoyo tuliwashtukia mapema sana na kama hamwamini ngojeni ikamilike SGR ya jembe letu muone
 
Watanzania wa JF vile mnapenda kueka tweets kama chanzo cha hoja, haya huyu hapa mwenzenu alishindwa kuona maana ya kujenga vi stesheni vidogo vidogo kwa reli ambayo inatarajiwa kutumika kwa miaka 100....

Alafu naona ni kama mlidanganywa kidogo... Hizi stesheni kwa mionekano zinakaa ndogo lakini angalau zinakaa simple but elegant and modern..

DtavavSXQAASkZV

Lakini 'kwa ground vitu ni different!!!'......... Kumbe hio ilikua ni ndoto!!! Ukiangalia stesheni zenyewe zimejengwa na mabati ya kawaida!!! Yani kuna watu wana nyumba nzuri hata kuliko hizi zinazokaa kama banda la kuku 😂😂😂 Kama ingekua ni Kenya imejenga hivi vibanda mngetucheka hadi tukimbie JF. Hebu angalieni hii ni nini sasa kama si vituko vya majuto na kingwendu!!!???
Tanzania - SGR Project 🇹🇿 (@SGR_tz) _ Twitter.mp4_20191102_160300.179.jpg

Tanzania - SGR Project 🇹🇿 (@SGR_tz) _ Twitter.mp4_20191102_160207.057.jpg

Tanzania - SGR Project 🇹🇿 (@SGR_tz) _ Twitter.mp4_20191102_155902.656.jpg
 
Ndugu zetu mmekosea sana kuuza haki zenu za msingi kwa hao wachina mkidhani mnaboresha kumbe mnauvaa mkenge
Huwezi nambia kwamba gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya tren ni kubwa kuliko barabara na bado hao wakoloni mmewapa rights za kisheria kusafirisha shehena zote zinazotia timu hapo bandarini kwenu
Yaaani ni uhuni usiokubalika
Ndo maana sie tulipiga chini limpango feki la bandari ya bagamoyo tuliwashtukia mapema sana na kama hamwamini ngojeni ikamilike SGR ya jembe letu muone
Unakaa ni kama unasoma buku liliondikwa na CCM kueneza propaganda.... Hakuna sheria yeyote iliondikwa za kupatia SGR rights zozote za kusafirisha shehena...... Kuna changamoto zinazokumba SGR lakini hizo ni changamoto ambazo hata nyinyimtapitia, kwahivyo tulia hapo usubiri muanze kubeba mizigo alafu ndo uje ujifanye mwerevu hapa.

Alafu kuhusu hio bandari ya bagamoyo, mbona wapinzani wenu wanasema viongozi wenu wanahujumu nchi kwasababu za kijinga.
 
Nairobi - Naivasha -- Pole pole biashara ya abiria imenza kushika kasi huku tukingojea barabara zimalize kujengwa

sfLBJwO.jpg

5V0kV4a.jpg

XGQY6i8.jpg

PT1IDFK.jpg
 
Umemskia mfanyi biashara gani akilalamika km wanalazimishwa kutumia sgr ya ghali hku wakati ma lorry ni rahisi...

Basi ukiona wamenyamaza, ujue wameona faida nyingi kutumia sgr kulingana na factors mbali mbali...

So watu wa malori wangelipata support ya wafanya biashara, basi ingelikua rahisi kusikizwa...tatizo jamaa wapo solo, na kinachonishangaza kuna malori yanapiga kazi mpka sasa...

Conclusion:
Watu ni km wame preffer sgr kuliko lorry kw sasa
Ndugu zetu mmekosea sana kuuza haki zenu za msingi kwa hao wachina mkidhani mnaboresha kumbe mnauvaa mkenge
Huwezi nambia kwamba gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya tren ni kubwa kuliko barabara na bado hao wakoloni mmewapa rights za kisheria kusafirisha shehena zote zinazotia timu hapo bandarini kwenu
Yaaani ni uhuni usiokubalika
Ndo maana sie tulipiga chini limpango feki la bandari ya bagamoyo tuliwashtukia mapema sana na kama hamwamini ngojeni ikamilike SGR ya jembe letu muone
 
Umemskia mfanyi biashara gani akilalamika km wanalazimishwa kutumia sgr ya ghali hku wakati ma lorry ni rahisi...

Basi ukiona wamenyamaza, ujue wameona faida nyingi kutumia sgr kulingana na factors mbali mbali...

So watu wa malori wangelipata support ya wafanya biashara, basi ingelikua rahisi kusikizwa...tatizo jamaa wapo solo, na kinachonishangaza kuna malori yanapiga kazi mpka sasa...

Conclusion:
Watu ni km wame preffer sgr kuliko lorry kw sasa
But sijui wana malorry wanateta nini. Ukishuka na Mombasa road huko Athi river Konza bado utayaona malori mengi sana sana njiani na mizigo. Tena kulingana na takwimu sidhani SGR inaweza kupakua mzigo wote wa Mombasa port ikiwa peke yake.
 
Watanzania wa JF vile mnapenda kueka tweets kama chanzo cha hoja, haya huyu hapa mwenzenu alishindwa kuona maana ya kujenga vi stesheni vidogo vidogo kwa reli ambayo inatarajiwa kutumika kwa miaka 100....

Alafu naona ni kama mlidanganywa kidogo... Hizi stesheni kwa mionekano zinakaa ndogo lakini angalau zinakaa simple but elegant and modern..

DtavavSXQAASkZV

Lakini 'kwa ground vitu ni different!!!'......... Kumbe hio ilikua ni ndoto!!! Ukiangalia stesheni zenyewe zimejengwa na mabati ya kawaida!!! Yani kuna watu wana nyumba nzuri hata kuliko hizi zinazokaa kama banda la kuku [emoji23][emoji23][emoji23] Kama ingekua ni Kenya imejenga hivi vibanda mngetucheka hadi tukimbie JF. Hebu angalieni hii ni nini sasa kama si vituko vya majuto na kingwendu!!!???
View attachment 1252156

View attachment 1252158
View attachment 1252160
Hehe hizi nikama Choo za umma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha ata iyo stesheni ya dar iishe wanayo ichocha itakua nzuri kushinda ya Nairobi,tuendelee kucheka.
 
Watanzania wa JF vile mnapenda kueka tweets kama chanzo cha hoja, haya huyu hapa mwenzenu alishindwa kuona maana ya kujenga vi stesheni vidogo vidogo kwa reli ambayo inatarajiwa kutumika kwa miaka 100....

Alafu naona ni kama mlidanganywa kidogo... Hizi stesheni kwa mionekano zinakaa ndogo lakini angalau zinakaa simple but elegant and modern..

DtavavSXQAASkZV

Lakini 'kwa ground vitu ni different!!!'......... Kumbe hio ilikua ni ndoto!!! Ukiangalia stesheni zenyewe zimejengwa na mabati ya kawaida!!! Yani kuna watu wana nyumba nzuri hata kuliko hizi zinazokaa kama banda la kuku [emoji23][emoji23][emoji23] Kama ingekua ni Kenya imejenga hivi vibanda mngetucheka hadi tukimbie JF. Hebu angalieni hii ni nini sasa kama si vituko vya majuto na kingwendu!!!???
View attachment 1252156

View attachment 1252158
View attachment 1252160
Tofauti ya hii kibanda na zile public toilets Machakos county tofauti ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1567921153839.jpeg
 
Mi mwnywe nashangaa..lkn pia nashuku sai mtu akiacha sgr kwenda kw lorry basi huchagua kampuni za maana zenye services nzuri na uhaiki wa kuupata mzigo salama..

Nashuku hao wanaoandamana ni wale wenye vi lorry kimoja kimoja, si ajabu hta huduma zao si nzuri..
But sijui wana malorry wanateta nini. Ukishuka na Mombasa road huko Athi river Konza bado utayaona malori mengi sana sana njiani na mizigo. Tena kulingana na takwimu sidhani SGR inaweza kupakua mzigo wote wa Mombasa port ikiwa peke yake.
 
Mi mwnywe nashangaa..lkn pia nashuku sai mtu akiacha sgr kwenda kw lorry basi huchagua kampuni za maana zenye services nzuri na uhaiki wa kuupata mzigo salama..

Nashuku hao wanaoandamana ni wale wenye vi lorry kimoja kimoja, si ajabu hta huduma zao si nzuri..
Ukweli. Efficiency ya SGR huezi compare na lori
 
Kuna sababu kwanini wanasema "encounters familiar problems" ni kwasababu tulitegemea round hii wizara ya uchukuzi itashughulika na kujenga barabara kabla ujenzi wa reli kuisha na kuzinduliwa..

Kule phase one hali ilikua hio hio, Kwa mfano, kwenye muonekano wa stesheni ya Mombasa, ilikua inaonyesha hadi bara bara nzuri zitakazo kufikisha hapo...
mombasa1.jpg

Lakini reli ilipoanza kufanya kazi, hii ndo hali ya barabara ilivyokua tena baada ya reli kuzinduliwa rasmi na Rais mwenyewe!

DCGr6nvXkAAkNht

DCM7kP9XkAAU9Kv

DCM7lK6XUAEu_VD

Source: Muddy access roads ruins travellers’ train experience – PHOTOS

Lakini baada ya mda, bara bara za kuelekea huko zilijengwa

0fgjhs63oh2celfbt.jpg
0fgjhsfm3gvs4j5r8.jpg

View attachment 1252132

View attachment 1252133

View attachment 1252134
View attachment 1252139

-----
Kwahivyo usifanye wasiwasi, huko kwengine ambako tumeanzisha juzi juzi barabara zinakuja, ni vile tu wizara ya uchukuzi ikiongozwa na mzembe number 1 (CS James Macharia) hua amezubaa zubaa.

Lovely
 
Back
Top Bottom