Kwa hiyo hujui kuwa kuna feasibility study ya reli ya mjini km 266 Dar es Salaam imefanywa na TRC na kampuni ya S. Afrika. Tatizo la Afrika raia anaweza kuwa very irresponsible na bado akawa anajigamba hadharani na ujinga wake. Hiyo habari hata siyo mpya. Kadogosa kaisema mara nyingi sana.Seriously you believe in what this zero brain says, oh my God Tanzania we have a long way to go.
Yah hii habari sio mpya ilishaongelewa toka ujenzi wa phase one unaanza,Kwa hiyo hujui kuwa kuna feasibility study ya reli ya mjini km 266 Dar es Salaam imefanywa na TRC na kampuni ya S. Afrika. Tatizo la Afrika raia anaweza kuwa very irresponsible na bado akawa anajigamba hadharani na ujinga wake. Hiyo habari hata siyo mpya. Kadogosa kaisema mara nyingi sana.
Easy..Usilazimishe mzee majadiliano ya Isaka-Kigali hayahusiani na ya kwenda DRC maombi yalikuwa yashapelekwa soma media za Rwanda utaona ukweli! Fresh impetus haimaanishi mradi wa Isaka-Kigali utasimama! AfDB wakitoa leo mobilization inaanza ASAP!
Easy Wakuu! Hapo sources kuna za mwaka jana na za mwaka huu. Halafu kuomba mkopo na kupata pia ni Jambo lingine. Maana zipo project kibao huwa zinakataliwa dakika za mwisho Kama mradi wa makaa ya mawe kwa majirani hapo AfDB walichomoa dakika za jioni.Mimi namshangaa mara feasibility study imebadilika, mara Rwanda wapate fedha kwanza,
Rwanda ni more strategic for regional cargo all the way to eastern DRC na mkopo wake ni tofauti na wa Mwanza! Kumbuka it is only when Kagame rooted for central corridor China stopped funding Northern corridor.Wacha kuzusha mambo! Nobody told u if Kigali SGR is built then no Mwanza SGR.Easy..
Easy Wakuu! Hapo sources kuna za mwaka jana na za mwaka huu. Halafu kuomba mkopo na kupata pia ni Jambo lingine. Maana zipo project kibao huwa zinakataliwa dakika za mwisho Kama mradi wa makaa ya mawe kwa majirani hapo AfDB walichomoa dakika za jioni.
Anyway, Wakuu mnaonaje faida na hasara za SGR kufika Kigali kwanza kabla ya Mwanza na Kigoma? Which is more economical and viable option ukizingatia financing model za huo mradi wa ili pesa ianze kurudi fasta?
Hii ndiyo kitu huwa najaribu kuwaelewesha ndugu zetu wa 254 hapa kuwa kuna haja ya kuangalia financing arrangements za mega projects zinazotekelezwa na serikali ili kujiepusha na mgogoro wa madeni.IMF: 40% of African countries can’t pay back their debts
The International Monetary Fund (IMF) has disclosed that 40% of African countries are in a position where they can’t affordnairametrics.com
Sasa unaelewa maana ya "we have seen good macroeconomic policy in Kenya. " na uhusiano wake na uwezo wa nchi kulipa deni?“Take the case of Kenya, we advise Kenya to be more cautious in building debt but we have seen good macroeconomic policy in Kenya.Hii ndiyo kitu huwa najaribu kuwaelewesha ndugu zetu wa 254 hapa kuwa kuna haja ya kuangalia financing arrangements za mega projects zinazotekelezwa na serikali ili kujiepusha na mgogoro wa madeni.
Kati ya Kenya na Tanzania Ni ipi inajulikana kusamehewa madeni?“Take the case of Kenya, we advise Kenya to be more cautious in building debt but we have seen good macroeconomic policy in Kenya.Hii ndiyo kitu huwa najaribu kuwaelewesha ndugu zetu wa 254 hapa kuwa kuna haja ya kuangalia financing arrangements za mega projects zinazotekelezwa na serikali ili kujiepusha na mgogoro wa madeni.
Tanzania. Ilisamehewa enzi za B.W. Mkapa kwa sababu ya mwenendo mzuri wa ulipaji. I bet mkisamehewa nyinyi itakuwa kwa sababu ya mzigo mzito uliowaelemea kama Ethiopia.Kati ya Kenya na Tanzania Ni ipi inajulikana kusamehewa madeni?
Mlipe beberu hella zake basiTanzania. Ilisamehewa enzi za B.W. Mkapa kwa sababu ya mwenendo mzuri wa ulipaji. I bet mkisamehewa nyinyi itakuwa kwa sababu ya mzigo mzito uliowaelemea kama Ethiopia.
Mlipe beberu hella zake basi
Hii stage wabongo tulipita kitambo sana aiseee shikamoo wachina
Tumia ubongoCanada pia walishika ndege yao!!! Madeni hawawezi lipa
Unadhani hiii ni cape/narrow gauge!!!!Hii stage wabongo tulipita kitambo sana aiseee shikamoo wachina
Stage gani hio?Hii stage wabongo tulipita kitambo sana aiseee shikamoo wachina
Jamaa wanapenda kujiliwaza sana!Unadhani hiii ni cape/narrow gauge!!!!
Bure kabisa
Kwani we umeposti picha gani?Stage gani hio?
Hakuna utofauti mwingine zaidi ya majina!Unadhani hiii ni cape/narrow gauge!!!!
Bure kabisa