Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani mmerogwa na stendi mpka raia hulalamika vijijini eti kisa kwao hakuna stendi[emoji23][emoji23]
Usafiri mkuu Africa ni mabasi kama kwenye ndege na treni kuna vituo bomba, why not vya mabasi pia?

Angalia level ya SGR Kenya
 
Usafiri mkuu Africa ni mabasi kama kwenye ndege na treni kuna vituo bomba, why not vya mabasi pia?

Angalia level ya SGR Kenya
Gauge ya SGR na tazara ni 1435mm, 1067mm respectively. Thats logic but to a guy like you hujawai elewa toka huu uzi uanze.
 
Gauge ya SGR na tazara ni 1435mm, 1067mm respectively. Thats logic but to a guy like you hujawai elewa toka huu uzi uanze.
That's not Tazara, Cape Gauge Railway (CPR), that's Dar-Korogwe-Moshi after Tanga-Moshi revamp! A Narrow Gauge Railway (NGR) but service standards n speed of Kenya's SGR! Capito?
 
Amesahau kuwa wananchi wa nairobi ndo wako na hali mbaya hakuna mfanowe
Picha za wananchi vile wako inadhihirisha vile wanaishi,
Watu wamevaa shaghalabagala, na mnajiita mnadevelop....bure kabisa ccm
 
I thought it was the Chinese as you preach everyday?! Your attempt at talking shit is pathetic at best.
Hawajielewi, wanatamani sana tuwe sawa lkn haiwezekani...
Wahindi kule kwao wamewabana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…