Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aisee jamaa akisema hela ipo hua anamaanisha kweli ipo...

Ndege moja ya mizigo tayari iko ktk mipango, sema sasa itabidi waongeze ziwe mbili ili sisi wakulima tuweze kupeleka mboga na maua ktk masoko ya mbali kirahisi zaidi...

Tenda ya Phase 3, 4 & 5 zitatangazwa kwa pamoja very soon. Ujenzi utaanza Mwanza na Makutupora simultaneously watakuja kukutana Isaka...

Ikumbukwe kuwa urefu wa Phase 3 zilizobakia ni kama sawa na urefu wa Phase 2 za kwanza (tofauti ya 37 km only), so cost wise gharama ni kama sawa au bit less given the terrain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hujui kuwa lengo letu ni kubeba Nickel yetu kule Kabanga mines pamoja na heavy metals za DRC na Burundi?

Sent using Jamii Forums mobile app
he he..reli yenu itaishia either in the Rwanda TZ border or in an inland depot in Rwanda hizo zingine ni hopeful dream ambazo si realist.There's NO way Burundi na Congo zitajenga their portion of that sgr but that said I'm looking at it this way, Max tonnage is 17m per year..why all that big an axle load of 35 whereas 25 can do the same work of hauling that nickel Hope you see my point..
 
If u know maths that maximum 17mln tonnage was either changa la macho or a mixture of Mungiki n Chinese cooked data in Kenya's SGR!
 
Ni kweli mkuu akisema hela ipo hua ipo kweli kweli si unaona tangu 2015 mpk leo anaajiri graduates wengi saaana kila mwaka,watumishi wanapandishwa madaraja na increments wamelipwa tangu aingie madarakani,wastaafu wanalipwa pesa fasta tu(mifuko ya hifadhi ina mapesa mengi saaana).

Inshort akisema hela ipo ni kweli ni nyingj mnoooooo.

dodge
 
Hahaha,
Acha miundombinu ijengwe kwanza, ukiangalia kazi aliyofanya utaona ni jinsi gani tulivyokuwa nyuma...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huu sasa ubishi wewe unafikiri watasafirishaje izo heavy metals kutoka inland kwenda kwenye mataifa makubwa yenye uhitaji?! Na ndio maana tumekaa nao tuset standard moja all the way to DRC ili wapate unafuu,timely na waweze kusafirisha mzigo mkubwa zaidi kwa wkt mmoja.Hawa ni wateja wetu kwenye bandari ya Dar es Salaam.
 
Mkuu umepata wapi hizi habari za phase 3, 4 na 5?
Kama ni kweli zitatangazwa na kuanza ujenzi mwaka huu litakuwa Jambo zuri Sana.
Kama hili likifanyika Nina uhakika 2022 tutaanza ya kuelekea kigoma, 2024 itakuwa kipande cha Moshi Arusha.

Phase 3 challenge kubwa ni kwenye bonde la ufa.
Phase 4 hakuna challenge kubwa na ni fupi Sana.
Phase 5 sijui watafuata ruti ipi, wakifuata njia ya sasa kuna mtihani kidogo ukiwa unaingia mza kuna milima, inaweza hitaji kupasua au kujenga tunnel(s).
 

 

 
 
Herringbone myfoot! where did u get that number 4) can u give a proof!





 
Your sgr ESIA final report.. Tafuta
 
Your sgr ESIA final report.. Tafuta
I read whole of ESIA report and nothing like that s stated! BTW? How long did it take before u repaired this less than a year right? Naskia juzi imebomoka tena! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ‘‡



πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€β˜
 
I think you are a pinhead. Being proud about speaking white man's lingo fluently but poor local language? Soo sad.
Say it loud-' Im black and proud'
 
Hiyo ni retaining wall ya Redhill road sio ya sgr ....lakini endelea kupiga punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ,

Subiri utapata habari zote mda ukifika, si unajua kuna watu hawakawii kwenda kuanza kupiga kelele wakijua in details jinsi tulivyojipanga.

Karata tumezishika karibu kabisa na vifua vyetu, tunakwenda kwa timing kali, kama tusingekua na pesa hatukua na haja ya kujenga Stieglers kabla hatujamaliza SGR...before end of the second quater tenda zote za remaining phases zitatangazwa kwa mpigo.

Kuna kajamaa kutoka kwa jirani kanachanganya mambo, SGR hii inayojengwa sasa inaelekea Mwanza, mipango ya ile SGR branch ya kutoka Isaka ICD kwenda Rusumo border ya TZ - Rwanda yenye urefu wa 310 km ni tofauti kabisa na hii.

Branch ya SGR ya kwenda DRC na Burundi itaanzia Uvinza kigoma hadi Msongati kama 240 km hivi...



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…