Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

a reason unit cost of electricity is way high! And nothing to show about in comparison to Tanesco that has major projects aside HP btn Tanzania n Uganda there is one btn Tanzania n Rwanda n Burundi, about 5 Transmission lines aside JNHPP while Kinyerezi phase II n III loading!
Dude, have you no shame???

We have fewer blackouts than you,
We have generation capacity to produce about 1000MW more than you...
So STFU!
 
Unaeza jaribu kujidanganya lakini hata wewe unaona, hadi hapo ilipofikia, there is Nothingimpresive about Dar station.. Sote tunajione hakuna any advanced engineering technology imetumika, jengo lote limegengwa kutumia brick and morter, hata watu wa 1600 AD wanaweza kujenga hadi hapo mlipofika.... The only thing from this century itakua tu ni pale watakapo ongeza vioo kando kandoya hilo jengo ndo likae "modern'. Lakini sisi tunao fyatilia ujenzi ambao tuliliona hilo jengo likijengwa tutajua ukiondoa hivyo vio hakuna lolote chini yake, ni gorofa la matofali tu kama majengo mengine mengi Tanzania.
 
Inakaa cheap sana,
Flat kama lami,
Passing tracks Kwa stations mbili pekee!!!!!
Alafu umeona vile hakuna fence, baada ya kuangusha maembe, watu watakua wanapanda tuu juu ya reli waketi wakipiga story za vijiweni
 
MY TAKE
Dar train station has a total area of 13,000 sq m.
Cargo trains will be 2 km long.

How big is Nairobi Terminus? Teargass n how long r ur cargo trains? Mind u double decker stacker r also available!

Before I answer your question of total area in sq m, can you give us a source of where you came up with the 13,000 sq m figure?

And If I may ask, how are you guys going to stop people and animals from crossing on the rail instead of using the underpass given that alot of parts of your phase 1 don't have fence?
 
Unaeza jaribu kujidanganya lakini hata wewe unaona, hadi hapo ilipofikia, there is Nothingimpresive about Dar station.. Sote tunajione hakuna any advanced engineering technology imetumika, jengo lote limegengwa kutumia brick and morter, hata watu wa 1600 AD wanaweza kujenga hadi hapo mlipofika.... The only thing from this century itakua tu ni pale watakapo ongeza vioo kando kandoya hilo jengo ndo likae "modern'. Lakini sisi tunao fyatilia ujenzi ambao tuliliona hilo jengo likijengwa tutajua ukiondoa hivyo vio hakuna lolote chini yake, ni gorofa la matofali tu kama majengo mengine mengi Tanzania.
Ni uongo nature tu ya jengo lenyewe lina partition chache ground floor ni kwa ajili ya waiting lounge ya mgr huezi kuibana second floor ni kwa ajili ya mall na restaurant na third floor ni kwa ajili ya SGR waiting lounge tena hii hadi kwny roof ni vioo tu angalia huu uwazi
IMG_20200219_151049_913.jpg

IMG_20200219_151157_106.jpg

Ofisi ni chache sana wakati wa usiku litapendeza sana is going to be shining like a full moon "The Tanzanite Monument "uzuri mwingine haliko kama kabati kila floor kama inazunguka kivyake vyake.😍😍😘😘😘😘
Kule juu kabisa watuwekee bar tule gambe na seaview+harbor view pamoja na skyline unaweza daka mtoto hapo floor ya pili mkaenda juu kbs kuyajenga.😁😁.Safi kbs.
 
First in EA! 😀 😀 😀 ☝ ☝ ☝
CC: Teargass n Kafrican

sambamba kwa urefu kiasi gani ?

Labda ile cable-stayed rail bridge ndo mnaeza mkajisifu nayo, lakini hio rai-over-rail tunayo.
Kuna sehemu nyingi ambapo SGR ya Kenya inapishana na MGR kwa daraja la kawaida, lakini kunazo sehemu zengine SGR na MGR zinaenda sambamba juu na chini hadi inabidi kujengwa daraja la aina hio iliojengwa huko Tz

Una bahati nimepoteza picha nilizokua nazo kitambo kwani zilikua zinaonyesha vizuri sana, hii nimepata mtandaoni sahii tu baada ya ku google..
hata kama ni kwa meter 20,bado ni rail-over-rail bridge!

View attachment 1341630

Kwahivyo Tanzania is not the first in the region

And speaking of firsts, Kenya tume achieve alot many firsts kwa SGR, hadi sasa hakuna nchi inafanya Double-stack containers in Africa!

nufietixsjqdklsxun5bb12679ed759.jpg

Hakuna mtu alie na SGR ambayo inavuka baharini
dyzhwlcn9tc2cr5b3d02450caaf.jpg

Hakuna daraja ra reli limejengwa kutumia hanging basket technology .

DqRuPBkXcAISJ9c

DqRuMyOWsAAXuq6

DqRuI20X0AI_ACI

eti umepoteza picha
emoji16.png
emoji16.png
.. kwamba ulikuwa nazo wewe tu hata google hazipo?

afu ili kutupoteza umeweka vitu hata ambavyo hujaulizwa

Aha, Hii ndo picha niliokua nimepoteza kitambo, Inaonyesha angle nzuri ya Rail over Rail bridge Kenya.

640
 
Unaeza jaribu kujidanganya lakini hata wewe unaona, hadi hapo ilipofikia, there is Nothingimpresive about Dar station.. Sote tunajione hakuna any advanced engineering technology imetumika, jengo lote limegengwa kutumia brick and morter, hata watu wa 1600 AD wanaweza kujenga hadi hapo mlipofika.... The only thing from this century itakua tu ni pale watakapo ongeza vioo kando kandoya hilo jengo ndo likae "modern'. Lakini sisi tunao fyatilia ujenzi ambao tuliliona hilo jengo likijengwa tutajua ukiondoa hivyo vio hakuna lolote chini yake, ni gorofa la matofali tu kama majengo mengine mengi Tanzania.
Maneno mengi point zero, sema akuchukiae hakuchagulii tusi technology ipi wewe unataka, subiri liishe
 
Ni uongo nature tu ya jengo lenyewe lina partition chache ground floor ni kwa ajili ya waiting lounge ya mgr huezi kuibana second floor ni kwa ajili ya mall na restaurant na third floor ni kwa ajili ya SGR waiting lounge tena hii hadi kwny roof ni vioo tu angalia huu uwazi View attachment 1362620
View attachment 1362629
Ofisi ni chache sana wakati wa usiku litapendeza sana is going to be shining like full moon uzuri mwingine haliko kama kabati kila floor kama inazunguka kivyake vyake.😍😍😘😘😘😘
Hukuelewa nilichokua naongelea .... Sasa hata umenisaidia kuonyesha kile nilichokua nasema..... Mimi sikuongelea kuhusu partition wala floor ghani itatumika kwa kazi ghani....... Miminimesema hadi pale hili jengo lilipifika hakuna lolote la kushtua mtu....

yani kwa kifupi, Ukiondoa hio frame ya nje na hivyo vioo, hilo jengo lenyewe ni jengo la kawaida kabisa 😂😂😂😂😂!!! Hivyo vyoo vimeongezewa huko kando kando kama kiini macho lakini sisi tunaofuatilia tunaona vile jengo lenyewe kabla liwekwe hivyo vioo vitakavyo ziba jengo zima , ni jengo tu la kawaida kabisa, hakuna complex architectural design, hakuna mordern materials zozote zilizotumiaka, yani hadi ile stendi mpya ya bus inayojengwa hukokwenu imeshinda hii

Kwa mfano,ukiangalia hili soko la ngong linalojengwa Kenya, hilo Jengo hapo lilipofika halina tofauti na pale Dar station imefika, Yani ni msingi, Nguzo nyingi, matofali kwa ukuta....... Hakuna complex design yoyote..... Yani ukiondoa hivyo vioo hamna lolote la kushtua chini yake.... Ama kwa upande mwengine, tukiongeza hio exoskeleton ya vioo kwa hilo soko la Ngong itakua sawa tu na station ya Dar, lakini kwavile sote tumeona hilo soko ikijengwa tutajua chini ya hivyo vyoo ni jengo la kawaida tu.

ENtDT_8WsAIFUTV

Tukitumia mfano mzuri wa huko kwenu, Tafuta picha za JNIA Terminal 3 ilipokua inajengwa, hata kabla ifanyiwe finishing ulikua unaona wazi kwamba si jengo la kawaida,kwamba ni jengo lakivyake hata kabla liwekwe vioo au kupakwa rangi... Lakini kwa Dar station tunaona ni jengo la kawaida tu bila vioo!
NI kama vile leo hii uchukue Subaru impreza model ya 2010 alafu uondoe body yake na u pimp hilo gari na body mpya hadi ikae kama super car, alafu mtu mwengine aje na Lamborghini ... Hata kama hio Subaru inakaa nzuri kiasi gani, sote tutajua tu kwamba haiwezani na Lamborgini manake ukiondoa hio body mpya juu ya Subaru, chini yake bado ni gari ya kitambo ambayo haitishi mtu yeyote.
 
Hukuelewa nilichokua naongelea .... Sasa hata umenisaidia kuonyesha kile nilichokua nasema..... Mimi sikuongelea kuhusu partition wala floor ghani itatumika kwa kazi ghani....... Miminimesema hadi pale hili jengo lilipifika hakuna lolote la kushtua mtu....

yani kwa kifupi, Ukiondoa hio frame ya nje na hivyo vioo, hilo jengo lenyewe ni jengo la kawaida kabisa 😂😂😂😂😂!!! Hivyo vyoo vimeongezewa huko kando kando kama kiini macho lakini sisi tunaofuatilia tunaona vile jengo lenyewe kabla liwekwe hivyo vioo vitakavyo ziba jengo zima , ni jengo tu la kawaida kabisa, hakuna complex architectural design, hakuna mordern materials zozote zilizotumiaka, yani hadi ile stendi mpya ya bus inayojengwa hukokwenu imeshinda hii

Kwa mfano,ukiangalia hili soko la ngong linalojengwa Kenya, hilo Jengo hapo lilipofika halina tofauti na pale Dar station imefika, Yani ni msingi, Nguzo nyingi, matofali kwa ukuta....... Hakuna complex design yoyote..... Yani ukiondoa hivyo vioo hamna lolote la kushtua chini yake.... Ama kwa upande mwengine, tukiongeza hio exoskeleton ya vioo kwa hilo soko la Ngong itakua sawa tu na station ya Dar, lakini kwavile sote tumeona hilo soko ikijengwa tutajua chini ya hivyo vyoo ni jengo la kawaida tu.

ENtDT_8WsAIFUTV

Tukitumia mfano mzuri wa huko kwenu, Tafuta picha za JNIA Terminal 3 ilipokua inajengwa, hata kabla ifanyiwe finishing ulikua unaona wazi kwamba si jengo la kawaida,kwamba ni jengo lakivyake hata kabla liwekwe vioo au kupakwa rangi... Lakini kwa Dar station tunaona ni jengo la kawaida tu bila vioo!
NI kama vile leo hii uchukue Subaru impreza model ya 2010 alafu uondoe body yake na u pimp hilo gari hadi body yake ikae kama super car, alafu mtu mwengine aje na Lamborghini ... Hata kama hio Subaru inakaa nzuri kiasi gani, sote tutajua tu kwamba haiwezani na Lamborgini manake ukiondoa hio body mpya juu ya Subaru, chini yake bado ni gari ya kitambo ambayo haitishi mtu yeyote.
Dar Bus Terminal will look like ur SGR Terminus! Sizewise even cladding design!
 
Dar Bus Terminal will look like ur SGR Terminus! Sizewise even cladding design!
If the situation was reversed you would have spent half of the year reminding every Kenyan that you meet how they were amazed at your SGR station design that they copied the design!
And BTW, that Dar Bus Terminal is a more complex architecture than your SGR station! You SGR stataion will be just a sheep in wearing leopard's skin, once you remove the skin its just beeeeeeeh!! beeeeeeeeh!!
 
What's the problem? Both r our structures one is glass n steel n another is concrete,glass n cladding!
 
sehem kubwa ipo elevated au chini ya normal ya land level.. mpka wanaenda huko juu au chini (if no fence) .. mfugaji hajui tu madhara ya mifugo kupanda huko juu au kushuka chini ya reli??
SGR ya Kenya iko juu zaidi na bado inahitaji fence kuzulia watu na manyama wakubwa......
Hiii yenu si elevated, hapa hata Kiboko ambaye kawaida hawezi kupanda kizuizi anaweza kufika juu ya reli sembuse ngombe na mbuzi???
2306781_IMG_2101.jpg

2306788_IMG_2111.jpg

2017 kuna wakati Ndovu walivunja fence ya SGR, wakiwa bado hawajazoea SGR na madaraja ya kupita na chini... Alafu wakulima walipoona hio sehemu ndani ya kiwanja cha SGR kina nyasi ambazo hazijaguswa wakaingiza ngombe na mbuzi....

On Saturday, a passenger train headed to the Mariakani station hit a cow killing it instantly. According to reports, the cow managed to get on the line after elephants destroyed a section of the fence.
An official who sought anonymity said that after hitting the cow, the train only slowed down for a few seconds before proceeding with the journey. There was no visible damage on the locomotive or the line, and only a few passengers found out what had just happened.

Hebu angalia vile SGR ya Kenya iko juu, na bado ngombe aliweza kupanda juu baada ya ndovu kuvunja sehemu moja ya fence, Ndovu alipotoboa sehemu ya kutoka, wafugaji wakapata mpenyo wa kuingiza mifugo yaoo ilishe kwa hayomatuta ya reli.... Hata ni bahati huyo ndovu alishindwa kupanda juu
railway-in-Kenya-1.jpg

sgr-4.jpg

Kule Ethiopia mbako hawana fence,hayo ya treni kugonga ngamia,ngombe, mbuzi ni kila wiki.... Mpaka iligunduliwa wafugaji wanapandisha mifugo yao juu ya reli kwa maksudi kwasababu wanajua mifugo yao ikiuliwa basi watalipwa fidia na serekali

Ethiopia-railkill.jpg

Angalia hii sehemu ya Ethiopia ambapo reli ipo eleveted na mkulima anatembea na ngombe wake hapo huu kando ya reli, unaona hao ngombe wengine wako huko chini

46388773_303.jpg

Soma hii aya hapa kuhusu yanayo fanyika kule Ethiopia

------------------------
After riding 2h15 from Adama, the train stopped in the bush not far from Metehara. I saw a goat on the side that couldn't seem to use its back legs. I thought it was giving birth ("cuuuute") until I realized there were more inanimate goats a few meters further. The train had gone full speed through a herd, killing 30. Locals came and there were soon 30ish people around the train. The four federal police guys who are always aboard the train went to discuss with them as usual. However the shepherd didn't want to let the train go until he gets compensated (for 70 goats, since some were pregnant and some cubs need their dead mother...). More federal and local police came, about 20 in total. The train left after 7 (!) hours of negotiations which, according the Chinese boss in the train, included some calls to the Ethiopian minister of transport and the head of the federal police in Addis, at dusk (I suspect the shepherd let it go because they had to go home for diner, otherwise they would have stayed!). The boss told me "they do it on purpose to get money. They ask an unreasonable price. The other day we killed 12 camels and they asked for a million birr".
---------------------------
 
What's the problem? Both r our structures one is glass n steel n another is concrete,glass n cladding!
I have no problem with your station, You could have built a mud hut for all I care, just never try to compare it with our stations, or ever try to call it the biggest (cause its not) or the most modern station in EA!
 
Fuatilia Gold line Metro huko Qatar imejengwa na kina nani.

Unaona vile hizo stesheni hata bila vioo unajua tu hio design si ya kawaida kabisa...

Lakini kando na hapo uwache kulinganisha vitu ambavyo havilinganishwi!!! .... Kila project inajengwa kulingana na pesa zilizo tolewa, ni kama mimi niende niokote projects kali kali za CCCC zilizojengwa huko nje kana kwamba hivyo ndo watajenga huku kwasababu ni kampuni ile ile.

Qatar Intergrated Rail Project ni project ya $36B (Yani nusu ya Tz GDP), naitakua na urefu wa 300km ikiwemo 30km ya tunnels..

Gold line metro ambayo ni sehemu moja ya hio Qatar integrated metro rail ni project inayofanywa na consotium tano
i.e Gold Line metro project was awarded to a global consortium (Joint Venture Company) consisting of five companies. Aktor S.A from Greece, Larsen & Toubro LTD from India, Yapi Merkezi from Turkey, STFA also from Turkey and Al Jaber Engineering from Qatar.
Hizo kampuni mbili za uturuki zinamiliki jumla ya 40% ya ujenzi wa hio Gold line......

Hio Gold Line ni 32km pekee lakini garama yake ni $4.4 Billion USD !!!!!!! NI mwendawazimu pekee ambaye ataketi chini ya mnazi akifikiria project ya light rail iliojengwa kutumia $4.4B kwa 32km itakua sawa na project yao heavy rail ya Dar-moro iliojengwaa kwa chini ya $2B kwa reli ya 300km.
 
Back
Top Bottom