Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hahahaha Yani 13,000 Sq.m alafu floor ya Chini ni ya reli ya zamani MGR kumaanisha SGR watapata maybe only 10,000m.sq kwa second floor.... Watu watakua wanapigaje laini






Angalia vile mahali kwa kusubiri hua kumejaa hadi kero






Mombasa station

Watu wanapiga line ya kukata ticketi..... Hii picha ilipigwa 6:30am watu wamepiga laini ya kuchukua tiketi kwa ATM,wakati treni yenyewe ilikua inaondoka 9am...


Laini ya Kushoto wasafiri ambao wanaenda kuchukua tiketi zao, laini ya kulia wameshachukua tiketi na wanangojea kuingia kwa stesheni wangojee treni



Hapa ni madakika kabla watu waanze kuabiri ambapo hua kuna zaidi ya watu 1000 kwa stesheni...







Mind you, Nairobi SGR station sits on a 58,000 m.q area, but the station itself is 21 meters high and 21,000 m.sq

This makes Nairobi SGR station twice as big as Dar station!!!!! So Dar station is not the biggest in EA, maybe the 3rd biggest After Nairobi and Mombasa Station!

SGR yenu ikikua successful hako ka stesheni kenu katakua kero tupu, watu watakua na msongamano kila mahali hata kupumua itakua shida tupu!
 
Acha ushamba nia yangu ni kukuonyesha uwezo wa hawa jamaa Jengo la abiria ni kitu minor sana kwny ujenzi wa reli.....!!!!Ondoa hizo gharama nyingine maana kuna mambo mengine mengi sana ya kuangalia si kuja na ulinganisho wako wa kitoto toto.
Ndo nimekwambia uache kulinganisha vitu ambavyo havilinganishi...... CCCC na CRBC ambayo imejenga reli ya kenya imeshinda Awards nyingi za kimataifa za ujenji kuliko Yepi..... Naweza kuonyesha project kumi zao ambazo zinashinda hio (Hio project ya Yepi ya $4.5B ndo the biggest contract ya kimataifa ya kampuni yeyote ya kutoka Turkey, Wakati CCCC hua inapiga contract moja ya hadi $60B)..... kwahivyo kutuonyesha uwezo wa Yepi kujenga hio gold line ya km 32 kwa $4.5 Billion hakuna lolote la kulinganisha na reli yenu ya chini ya $2 Billion kwa 300km...
 
Sio guarantee kufanya vizuri kila mahala. Kwetu huku afrika wachina wanajua viongozi wanapenda rushwa

kitochi
 
That cladding material is different my friend first in EA!



another kind of cladding

Yet another poorly researched claim

Britam tower And its vehicle parking Silo next to it uses the same cladding













For the first time in the Emporis Skyscrapers Award’s 19-year history, a Kenyan skyscraper has landed the contest’s top honour – becoming the first building in Africa to win such accolade.
Emporis’ panel of global experts has ranked Britam Tower the 10th best skyscraper in the world, from a pool of more than 250 towers completed in 2017 – each at least 100 metres tall – in a development that has helped Kenya to carve out a place in the world’s architectural map.
The 200-metre skyscraper, which sits on 1.5 acres on Hospital Road, comprises two separate buildings: a 31-storey office tower and a 15-storey parking silo with an interlinking bridge at the top floor which offers alternative means of evacuation during emergencies.
Britam Tower, a landmark in Nairobi, has a total lettable space of 350,000 square feet with 1,000 parking bays – attaining one of the highest parking ratios in the Kenyan capital.

Emporis judges were impressed with the project’s energy efficiency as well as the building’s prismic design that is achieved by having a footprint with four corners and then a roof with only two.
Britam Tower was designed by GAPP Architects & Urban Designers and Triad Architects.
Commenting on the award, Triad Architects said it takes pride in leading the design and construction of Britam Tower even as it continues to design award-winning buildings in Africa.
“Our approach is to design creative and unique spaces that meet current international standards and are infused with an elegant local flair. We are proud to be associated with this prestigious list of outstanding skyscrapers,” the firm said in a statement.
The annual Emporis Skyscrapers Award is regarded as the world’s most coveted prize for high-rise architecture – grading the 10 best buildings in the world regarding their design and functionality.

To qualify, nominated buildings must have been completed during the year of the award, and must be at least 100 metres in height. In the 2017 ranking, the top spot was clinched by Lotte Tower – 555-metre glass and steel behemoth, which sits near the banks of Central Seoul’s Han River.
The 5th tallest building in the world was feted for its design which combines modern elements with classical forms from Korea’s art and culture.
The runner-up award went to the 177-metre Generali Tower in Milan, while the 229-metre 150 North Riverside in Chicago came in third. Below is the full list of the winners.



EMPORIS TOP 10 SKYSCRAPERS, 2017

1.) Lotte World Tower
Height: 1819 ft.
Floors: 123
Location: Seoul, South Korea
Architects: Kohn Pederson Fox Associates, Baum Architects

2.) Generali Tower
Height: 582 ft.
Floors: 44
Location: Milan, Italy
Architects: Zaha Hadid Architects

3.) 150 North Riverside
Height: 752 ft.
Floors: 54
Location: Chicago, USA
Architects: Goettsch Partners, Inc.


4.) Raffles City Hangzhou
Height: 845 ft.
Floors: 61 and 59
Location: Hangzhou, China
Architects: UNStudio

5.) The Ellipse
Height: 444 ft.
Floors: 41
Location: Jersey City, USA
Architects: Arquitectonica, Haines Lundberg Waehler

6.) Azrieli Sharona
Height: 782 ft.
Floors: 57
Location: Tel Aviv, Israel
Architects: David Azrieli Group, Moshe Zur Architects and Town Planners Ltd.

7.) River Point
Height: 730 ft.
Floors: 52
Location: Chicago, USA
Architects: Pickard Chilton Architects, Inc.

8.) Ping An International Finance Center
Height: 1965 ft.
Floors: 116
Location: Shenzhen, China
Architects: Kohn Pederson Fox Associates, China Construction Design International

9.) Arena Tower
Height: 489 ft.
Floors: 45
Location: London, UK
Architects: Skidmore, Owings & Merrill LLP

10.) Britam Tower
Height: 656 ft.
Floors: 31
Location: Nairobi, Kenya
Architects: GAPP Architects, Triad Architects

 
1 train carries 20× 118 per Couch = 2300 people
There are no cases of a passanger train arriving when another is departing. You only need 30 ticketing & security gates to process those 2k people in under 1 hr.
If i can remember, NBO station has less than 10 ticketing & security processing stations.
The Queues you are seeing there are a testament of low Quality of service not building space
 
Umemjibu vizuri sana, kongole🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio guarantee kufanya vizuri kila mahala. Kwetu huku afrika wachina wanajua viongozi wanapenda rushwa

kitochi
Ndio maana nimemwambia mwenzako awache kutamani hio project iliojengwa na Yepi huko Qatar sababu eti ni huyo huyo yepi ndo anajenga SGR ya TZ, hizo mbili ni project tofauti zenye garama tofauti.....

Acha ushamba nia yangu ni kukuonyesha uwezo wa hawa jamaa Jengo la abiria ni kitu minor sana kwny ujenzi wa reli.....!!!!Ondoa hizo gharama nyingine maana kuna mambo mengine mengi sana ya kuangalia si kuja na ulinganisho wako wa kitoto toto.

Hii ni SGR inayojengwa na Yepi Merkezi kule Ethiopia, Kutoka Awash hadi Weldiya 400km, Ni cheaper kuliko hio yenu.....Angalia vile ni tofauti kwasababu ya hela, Linganisha haya madaraja na hayo ya Tz SGR.... Kumbuka kampuni ni hio hio inayojenga SGR yenu
















 
Kila nchi inajenga Miundo mbinu kulingana na mahitaji yake na pesa zilizo available.
Kenya ilijenga Reli expensive kuoneshana eti inauwezo wa project ya $3b+ kwa mpigo hata kama kwa mkopo.
Project za $3b+ Tanzania ni nyingi mno kama gesi, Reli, Dam ya stiglers,pipeline etc. TZ SGR sio flagship project ya kujionyeshana kwamba imefika kiuchumi..Ingekuwa Tz inashindana kwa upuuzi kama huo $10b bagamoyo port kwa mkopo ingekuwa sasa imekamilika
 
I like it when people make arguments based on provable facts and figures cause then the discussion can be based truths and not stories..........

First of all, Where are you going to find the space for 30 ticketing & security gates??? This one I wan't to see, especially knowing that the SGR floors for processing passengers start at first floor going upwards.
And where are you going to fit those 2300 people that you have just processed in under and hour in that confined 10,000 sq.m space?????



Lets use a passenger Terminal that has 30 check-in counters.... JKIA Terminal 1A




And do you want to guess how big JKIA T1A is????Its 37,000 sq.m, If you combine Nairobi SGR station + Dar SGR station 21,400 + 13,000 = 34,000 sq.meters which is still less than T1A in size.



And In case you were wondering JNIA new Terminal III has 37 Counters (which is not far from the 30 you mentioned) + another extra 7 for Immigration ...... Do you wanna guess how big JNIA T3 is??? 60,000m.sq!!!!!


------------------------------------------------



So please educate me on How 13,000 sq.m of Dar SGR station will have 30 ticketing counters and 30 security gates and also have space for atleast 1150 passengers (half of the 2,300) to seat when even JKIA T1A at 37,000 sq.m in space only has 550 seating positions (which is half of the number of passengers it can process in 1 hour)
 
Hizo project zote ulizotaja ni project hewa, ukimaliza kujenga unitag,kwasasa acha kupiga porojo
 
1. Seriously, How can you compare the logistics of a train station with An airport?
Have you ever seen an airport with only 1 Plane carrying all passangers in 1 flight & all off them take off at the same time? + no other flight after that untill 4/8 hrs later
Obviosly A train ticketing & security processing will always be congested at boarding time unless there are enough counters which NAIROBI SGR station doesnt.
2. Even if the station's passanger processing area was on a 50×100 plot (Mburoti magutamaguta😂😂) that is enough for 30 counters
 
Which stations r those? Is Kunyaland having a train station to brag about? Those station u go upstairs then u come downstairs to board mtungi wa chang'aa! 🤣 🤣 🤣 👆
Wacha kukashifu vitu ambavyo huelewi, One side of the railway platform ni ya MGR, side nyingine ndo ya SGR, ilitaka watu wapite na katikati kwa reli??
Hio treni unayoiona hapo ni MGR inayo peleka watu hadi katikati ya mji Nairobi CBD




Tofauti na kule kwenu kwasababu treni yenu iko kati kati ya mji ambapo hakuna nafasi, reli ya SGR mkaipitisha kwa daraja iwe sambamba na 1st floor ya stesheni alafu chini mkawachia shughuli za MGR....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…