Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #5,881
and? shouldn't the GoE stop people using the rail to transport their cattles? A fence can do! BTW in Kenya cows r also transversing ur SGR!Ndio maana nimemwambia mwenzako awache kutamani hio project iliojengwa na Yepi huko Qatar sababu eti ni huyo huyo yepi ndo anajenga SGR ya TZ, hizo mbili ni project tofauti zenye garama tofauti.....
Hii ni SGR inayojengwa na Yepi Merkezi kule Ethiopia, Kutoka Awash hadi Weldiya 400km, Ni cheaper kuliko hio yenu.....Angalia vile ni tofauti kwasababu ya hela, Linganisha haya madaraja na hayo ya Tz SGR.... Kumbuka kampuni ni hio hio inayojenga SGR yenu
u could have put more bridges at least 4 or put the platform on a viaduct!Wacha kukashifu vitu ambavyo huelewi, One side of the railway platform ni ya MGR, side nyingine ndo ya SGR, ilitaka watu wapite na katikati kwa reli??
Hio treni unayoiona hapo ni MGR inayo peleka watu hadi katikati ya mji Nairobi CBD
Tofauti na kule kwenu kwasababu treni yenu iko kati kati ya mji ambapo hakuna nafasi, reli ya SGR mkaipitisha kwa daraja iwe sambamba na 1st floor ya stesheni alafu chini mkawachia shughuli za MGR....
Wasituletee mitungi km ya Ethiopia tuThe most advanced electrical SGR in the whole of sub saharan Africa!
I just can't stop posting this photos
Ila mitungi ya Ethiopia ipo bomba zaidi ya Kenya ile ni mitungi ya umeme!Wasituletee mitungi km ya Ethiopia tu
[emoji3][emoji3][emoji3] sureIla mitungi ya Ethiopia ipo bomba zaidi ya Kenya ile ni mitungi ya umeme!
1. Have your chinese masters realized that the single long line with sniffer dogs is a bottleneck?
2.Have they realized the 6 ticketing stations are a bummer for 2k People?
3.Do they understand the most time is spent at the scanning stations with only 2 machines where men have to untie their belts & women take off ear rings?
4. The 6 or more boarding gates you show there are usualy a no congestion area. The bottlenecks are before that
You exposed yourselves by posting long Queues, Sweaty Crowds & total confusion.These statements prove you have not used Kenya SGR. Only maybe 20% or less of tickets are bought at the counter. Many of those days ahead of time. Those ticketing stations are free alot of time. Tickets are bought online or using ussd upto 3 months before. You print at a ticket printing station, usually takes seconds for one passenger. Type in a code, ticket comes out. There are about 8 of these.
There are 4 scanning stations and are walk through, unless you have an issue with bags it takes seconds to pass.
I do not know what you mean by boading gates, no such thing here. 1000 People wait and 1500 during peak season are in waiting room and walk through the tickets scanners onto train 30MINs before departure. Someone here said 2hrs.
If a station 2x bigger than Dar station is this full, sasa mtaweka viti nje kama old JNIA watu wakae au hamtarajii waTz kutumia reli, which might be the case with this tiny rooms you call stations.
Wenzako Ethiopia ndio hawaIla mitungi ya Ethiopia ipo bomba zaidi ya Kenya ile ni mitungi ya umeme!
hili linatokea Ethiopia kwavile Ethiopia haikuweka plan nzuri kuhusu umeme! Miradi yao ya HP yote imeshindwa kumalizika (stagnant)! Unavyoandika hapa kumbuka zaidi ya 70% ya vijiji Tanzania viko connected na umeme!Wenzako Ethiopia ndio hawa
Few facts before we get to that:
Wanagenerate 4,300MW
Sijui Demand yao ni ngapi lakini ukizingatia vile watatuuzia 400MW kuanzia mwaka huu, inamaanisha wako na umeme unaotosha matumizi yao.
-------------------------------------------
The entire railway transportation system has not been immune from a wide-area electric power blackout contributing to a series of disruption on its operations between the Addis-Djibouti rail networks.
The study Gedion and his team have conducted indicates that: “For instance, by the end of October 2019, the number of power cuts that occurred on train operation have reached to 6,742, and the overhead line reaching to 1,736.”
The frequent power cuts not only has affected the efficiency of the railway transport, but has also led to anomalous operations including rescue, slope stopping, regression, and a very serious impact on train operation safety. Some 60 percent of interruptions took close to three hours before the train’s returned to normal operations. But in some instances, three percent of the total events have caused more than a day long outages. The total interruption time was found out to be exceeding 4,800 hours since the start of railway operations across the corridor.
-----------------------------------------Power disruptions hobble Ethiopia’s railway lines | The Reporter Ethiopia English
A new study by a local research firm has indicated that the Ethiopian railway operation has been suffering from recurrent power outages, exacerbated lack of sound legal system, least available maintenance facilities and most importantly the absence of funding.www.thereporterethiopia.com
Yani umeme wa kusambaziwa reli umepotea mara 6,742 ndani ya hio miaka mitatu wamekua wakipiga safari za Addis Djibouti....
Kwa Ujumla ukichanganya mda wote ambapo stima ilikua imepotea kwa line ya reli, ni masaa 4,800..... Yani ukijulisha hayo masaa ni kama vile kulikua hakuna stima kwa siku mia mbili mfululizo (200 days) Au ukipenda 6 Months and 15 Days!!!!
Ethio - Djibouti Railway in pictures....
-------------
Alafu kabla ujibu zile zenu za kawaida, za JPM kama mungu mdogo hawezi kosea lolote na amejipanga vilivyo, kwahivyo kwa SGR Tz hakutawahi potea stima hata siku moja..blah blah
- ukumbuke kwamba Ethiopia iko na viwanda vingi kushinda TZ,
- Viwanda na kampuni za Tanzania hushuhudia stima kukatika zaidi ya Viwanda na kampuni za Ethiopia ... Yani (Power outages in firms in a typical month (number)
- Ethiopia wana uweledi wa kuendesha kampuni za kiserekali vizuri kabisa kushinda Tanzania na kushinda hata Kenya .... Think Ethiopian airlines ama Commercial Bank of Ethiopia ambayo iko na assents worth $20 Billion!! Kwahivyo hao sio watu wa kuleta mzaha kazini manake wanafwata ile model ya China kupambana na uzembe au ufisadi.
NB: Sisemi kwamba eti TZ itapitia yale yanayo kumba Ethiopia kwa sasa, Nasema usianze kucheka mwenzio (Kenya SGR) anaye yumbayumba na kuteleza kwa matope wakati pia wewe (TZ SGR) unapanga kuvuka kivukio....... Kua na subra ya kuvuka kwanza bila kuanguka alafu ndo ucheke wenzako wanaoteleza.
Nairobi Terminus is not above 15000 sq m! FYI even in developed countries one station can not help to solve the population esp. to a city of over 5 mln inhabitants! Angalia majiji kama Berlin, London na Paris! yote yana vituo vingi vya treni tena na efficient commuter train system!Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...
Kenya SGR station zenu ni nzuri regardless mmepoteza hela au la..but station zenu ziko bomba na ni long term plan itayowachukua muda mrefu mpka kuzipanua tena..Tz tunakazi ya kuzipanuna in few years sio kwa jinsi ya population inavyokuwa kubwa...13k sqm hazitoshi kwa Dar in next 5 years watu watabisha but huo ni ukweli ..unless kuwe na effiency ya ukataji wa ticket wa ajabu mfano kama card za BRT na pia treni zisisubiriane sana
Sent using Jamii Forums mobile app
And those terminus should be connected to the main ..feeding it ? Au station ndo train zianzie hapoNairobi Terminus is not above 15000 sq m! FYI even in developed countries one station can not help to solve the population esp. to a city of over 5 mln inhabitants! Angalia majiji kama Berlin, London na Paris! yote yana vituo vingi vya treni tena na efficient commuter train system!
And none of these cities built them at a go! Kama hamjui hii maneno inaendaje mkae kimya! Nairobi terminus si kubwa namna hiyo unavyofikiri tena mbaya zaidi platforms zake zinafikika kwa bridges mbili! I don't think he terminal is above 15,000 sq m! Dar will need at least three more stations of the same size at remote locations for a smooth operation! Lets say one in Mbagala another in Tegeta aside one in places Ubungo or Mbezi!
Kama ushafika London au Berlin au Paris utaona treni za kutoka nje ya mji zinashusha abiria sehemu tofauti zaidi ya main station! Na hii inapunguza msongamano kwa main train station! Hata ujenge kituo cha 100,000 sq m bado haitaondoa suala la msongamano! Mara nyingi wanakuwa na vituo kama cha mashariki, magharibi, kaskazini na kusini! Mimi naunga sana hii idea inayotumika sasa na TRC maana kuna pia plan ya kujenga commuter rails hii ina maana vituo vingine vitakuja kujengwa! hata vikiwa size ya Pugu vitasadia sana maana suala ni kuondoa kila mtu kuja central! Kwa mfano mtu anatokea Mtwara basi anashuka Mbagala then anaenda temeke au Kigamboni treni inaenda mpaka central na kuishia hapo! Au mtu anatoka Bagamoyo na anaishi mbezi anashuka Tegeta anachukua DART au commuter train mpaka home na si lazma aje mpaka central na treni!And those terminus should be connected to the main ..feeding it ? Au station ndo train zianzie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah hii idea nzuri sana boss..ni kama bus station zinazofanya ..kuna plan ya kujenga kituo kingne Bunju na kingine Mbagala ..so as kupunguza kwa kile cha mbeziKama ushafika London au Berlin au Paris utaona treni za kutoka nje ya mji zinashusha abiria sehemu tofauti zaidi ya main station! Na hii inapunguza msongamano kwa main train station! Hata ujenge kituo cha 100,000 sq m bado haitaondoa suala la msongamano! Mara nyingi wanakuwa na vituo kama cha mashariki, magharibi, kaskazini na kusini! Mimi naunga sana hii idea inayotumika sasa na TRC maana kuna pia plan ya kujenga commuter rails hii ina maana vituo vingine vitakuja kujengwa! hata vikiwa size ya Pugu vitasadia sana maana suala ni kuondoa kila mtu kuja central!