Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Wanaweza wasitake kupitia ziwani, ile ya isaka - Kigali ni rahisi kwao kuunganisha kupitia mkoa wa kagera.Wazo zuri,
ICYMI, kipande cha SGR watakachotakiwa kujenga Uganda haizidi hata km 15. Maana watatakiwa kuunganisha Kampala to Port Bell, toka pale kitu kitaingia ndani ya Meli to Mwanza then kitaendelea hadi Bandari Salaama kwa spidi ya light ...
JPM ameshatoa maagizo ya kujenga wagon ferry mpya itakayo accommodate SGR track.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza wasitake kupitia ziwani, ile ya isaka - Kigali ni rahisi kwao kuunganisha kupitia mkoa wa kagera.
Hii ya mizigo wa majini...ni nzuri ...inabidi tuwe na wagon ferry zaidi ya 6U/C wakati reli inajengwa ili kuwa more efficent..we need to be aggressive on this if we really want it ..6vessels kama moja inaweza kubeba wagon tracks hata 30 na yenye uwezo wa kukata maji ndani ya usiku (8hrs) ..asubuhi mzigo uko portbell ...Mwanza- Isaka rail will likely take to 2024 reli kuisha and by tht time we need the vessels ready ..so its a heavy investment hapo..most likely rail itacost 1bn usd ..ukiweka na electrification ...cost and all ..vessels may cost 200mil usd .. roughly 30- 40mil usd eachWazo zuri,
ICYMI, kipande cha SGR watakachotakiwa kujenga Uganda haizidi hata km 15. Maana watatakiwa kuunganisha Kampala to Port Bell, toka pale kitu kitaingia ndani ya Meli to Mwanza then kitaendelea hadi Bandari Salaama kwa spidi ya light ...
JPM ameshatoa maagizo ya kujenga wagon ferry mpya itakayo accommodate SGR track.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomea Jiografia wapi wewe? Yaani JPM aache kuifikisha reli Mwanza itakapoweza kuungana na Kampala kwa ziwa Victoria meli zikiwepo zipo tayari na kuiharakisha SGR ifike Kigali na Bijumbura kutokea Isaka ajenge mpya kupitia Kagera! Ubinafsi kama huu wako hauzingatia nia njema ya kukamata masoko ya nchi landlocked. wewe ni kama wale wanaong'ang'ania SGR ipite Kigoma ndo iingie Burundi badala ya kujenga Isaka Keza na kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwanza! na ku-secure nchi za Rwanda na Burundi kutuia central corridor na kutoa nafasi ya kufika DRC mapema na hata kama nchi za Rwanda na Burundi zitakataa still kujenga Isaka-Kigoma na kutumia ferries haitakuwa kupoteza!Wanaweza wasitake kupitia ziwani, ile ya isaka - Kigali ni rahisi kwao kuunganisha kupitia mkoa wa kagera.
Hebu nieleze hii gjiografia..... Hii nchi ya Rwanda haipakani na Kenya, lakini Kenya inafanya biashara nyingi za ndani kwa ndani na Rwanda kuliko Tanzania ambayo inapakana na Rwanda! You ain't securing sh!tUmesomea Jiografia wapi wewe? Yaani JPM aache kuifikisha reli Mwanza itakapoweza kuungana na Kampala kwa ziwa Victoria meli zikiwepo zipo tayari na kuiharakisha SGR ifike Kigali na Bijumbura kutokea Isaka ajenge mpya kupitia Kagera! Ubinafsi kama huu wako hauzingatia nia njema ya kukamata masoko ya nchi landlocked. wewe ni kama wale wanaong'ang'ania SGR ipite Kigoma ndo iingie Burundi badala ya kujenga Isaka Keza na kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwanza! na ku-secure nchi za Rwanda na Burundi kutuia central corridor na kutoa nafasi ya kufika DRC mapema na hata kama nchi za Rwanda na Burundi zitakataa still kujenga Isaka-Kigoma na kutumia ferries haitakuwa kupoteza!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
R u trying to tell me with a blockade btn Rwanda and Uganda in 2019 the figures will be the same? Go n tell ur mama Kunyaland governement has a way of deceiving fools!Hebu nieleze hii gjiografia..... Hii nchi ya Rwanda haipakani na Kenya, lakini Kenya inafanya biashara nyingi za ndani kwa ndani na Rwanda kuliko Tanzania ambayo inapakana na Rwanda! You ain't securing sh!t
View attachment 1380859
Why do Tanzanians have the mentality that the only way to beat Kenya is if something bad happens, e.g Election violence, ethnic civil war, Alshabaab, corruption..etc Why can't a Tanzanian for once just say something like "We will overtake Kenya because we have superior infrastructure, we are more hardworking, we are smarter and even under the best economic conditions in Kenya, Tanzania will still beat Kenya.... "R u trying to tell me with a blockade btn Rwanda and Uganda in 2019 the figures will be the same? Go n tell ur mama Kunyaland governement has a way of deceiving fools!
and still Rwanda chose Dar SGR to Kenya SGR! 90% of all Rwandan cargo go through central corridor n ends up to Dar and Tanga ports! don't argue stupidly!Why do Tanzanians have the mentality that the only way to beat Kenya is if something bad happens, e.g Election violence, ethnic civil war, Alshabaab, corruption..etc Why can't a Tanzanian for once just say something like "We will overtake Kenya because we have superior infrastructure, we are more hardworking, we are smarter and even under the best economic conditions in Kenya, Tanzania will still beat Kenya.... "
Siku zote mnabaki mkisubiri maembe chini ya mnazi ... i.e mnangojea janga litokee Kenya ndo ianguke alaffu ndo mtaipiku... mweh!!!
And to answer your question, R u telling me that you are not aware that there is an alternative route to Rwanda through northern Tanzania via the Taveta/Holili border???
----------------------------------
Northern Tanzania-bound cargo through Mombasa port accounted for 281 Twenty-foot Equivalent Units (TEUs) or 5.4 per cent to emerge the second transit destination in the week ended September 20.
As usual Uganda retained its leading position, accounting for 4,228 TEUs or 81.2 per cent of the total transit bound traffic which stood at 5,208 TEUs.
Other transit destinations included South Sudan which accounted for 279 TEUs, followed by the Democratic Republic of Congo with 205 TEUs and Rwanda with 167 TEUs.
Somalia and Burundi registered 29 TEUs and 11 TEUs respectively.
Northern Tanzania rises to 2nd transit cargo destination - TradeMark East Africa
-------------------------------------
Why do Tanzanians have the mentality that the only way to beat Kenya is if something bad happens, e.g Election violence, ethnic civil war, Alshabaab, corruption..etc Why can't a Tanzanian for once just say something like "We will overtake Kenya because we have superior infrastructure, we are more hardworking, we are smarter and even under the best economic conditions in Kenya, Tanzania will still beat Kenya.... "
Siku zote mnabaki mkisubiri maembe chini ya mnazi ... i.e mnangojea janga litokee Kenya ndo ianguke alaffu ndo mtaipiku... mweh!!!
And to answer your question, R u telling me that you are not aware that there is an alternative route to Rwanda through northern Tanzania via the Taveta/Holili border???
----------------------------------
Northern Tanzania-bound cargo through Mombasa port accounted for 281 Twenty-foot Equivalent Units (TEUs) or 5.4 per cent to emerge the second transit destination in the week ended September 20.
As usual Uganda retained its leading position, accounting for 4,228 TEUs or 81.2 per cent of the total transit bound traffic which stood at 5,208 TEUs.
Other transit destinations included South Sudan which accounted for 279 TEUs, followed by the Democratic Republic of Congo with 205 TEUs and Rwanda with 167 TEUs.
Somalia and Burundi registered 29 TEUs and 11 TEUs respectively.
Northern Tanzania rises to 2nd transit cargo destination - TradeMark East Africa
-------------------------------------
Mimi nashauri hicho kipande wapewe mainjinia wetu tuone kama wameiva baada ya kushiriki ujenzi wa sgr dar Dodoma wakiwa na yap makenziSGR ya Isaka-Mwanza, serikali ijitoe muhanga kuigharamia yenyewe ujenz wa hio reli (ili kuishawishi uganda wajenge yao ya kuja bongo).... tukisubiri mambo ya mkopo.. wakenya from no where watakuja kupata hela/mkopo kumalizia reli yao
Isaka-Mwanza si almost 220km.. hapa nadhan 1.5trillions ya ujenz inatosha (pls wakenya hizo km na gharama sina uhakika nazo, msije mkanishambulia hapo [emoji1])
Mambo ya ziwa na meli ni kupoteza Pesa bure tujenge reli hadi Uganda tutakuwa tumefanya jambo kubwa sana kiuchumiWanaweza wasitake kupitia ziwani, ile ya isaka - Kigali ni rahisi kwao kuunganisha kupitia mkoa wa kagera.
Mh bado mzee unajua wanahitaji wawezeshwe kwenye vifaa ingependeza phase ya 5 hivi au hata Mtwara-Bamba bay! Hii ya sasa inahitaji speed na preciseness na vifaa! Serikali inabidi iji-mobilize upande huo kwanza!Mimi nashauri hicho kipande wapewe mainjinia wetu tuone kama wameiva baada ya kushiriki ujenzi wa sgr dar Dodoma wakiwa na yap makenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
SGR kama reli nikitu chenye kukuwa hivyo baadae inatakiwa iwe na matawi to kigoma to kagera" bukoba" nk hivyo usiseme ajenge reli nyingineUmesomea Jiografia wapi wewe? Yaani JPM aache kuifikisha reli Mwanza itakapoweza kuungana na Kampala kwa ziwa Victoria meli zikiwepo zipo tayari na kuiharakisha SGR ifike Kigali na Bijumbura kutokea Isaka ajenge mpya kupitia Kagera! Ubinafsi kama huu wako hauzingatia nia njema ya kukamata masoko ya nchi landlocked. wewe ni kama wale wanaong'ang'ania SGR ipite Kigoma ndo iingie Burundi badala ya kujenga Isaka Keza na kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwanza! na ku-secure nchi za Rwanda na Burundi kutuia central corridor na kutoa nafasi ya kufika DRC mapema na hata kama nchi za Rwanda na Burundi zitakataa still kujenga Isaka-Kigoma na kutumia ferries haitakuwa kupoteza!
You probably better read this map carefully! Priority for now is Isaka Mwanza and Isaka-Keza before anything else!
MY TAKE
Hii maneno ya watu wa Kigoma kubisha ati lazma SGR ipite Kigoma ni kukosa uelewa ni kama watu wa reli ya Tanga Moshi waanze kubisha ati kwamba SGR ilipaswa kupita kwanza Moshi maana kama reli Tanzania ya kwanza kujengwa ilikuwa Tanga-Moshi!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
hebu pitia nilichoandika! Wacha kukurupuka! Nimeongelea priority for now! Tawi la Kagera halina umuhimu kwa sasa ikizingatiwa kuna meli za kubeba treni zinaundwa Lake Victoria na kuna uhakika wakujengwa ya Isaka-Mwanza! Kuna watu mngekuwa Marais humu mngefanya mambo yasiyo na tija! Mna akili za Zitto!SGR kama reli nikitu chenye kukuwa hivyo baadae inatakiwa iwe na matawi to kigoma to kagera" bukoba" nk hivyo usiseme ajenge reli nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawezi kufanya ujinga mnaoungeleaa humu baadhi yenu ati ajenge reli wakati kuna meli mbili mpya za kubeba treni na kuifikisha Bukoba na Kampala zishasainishwa ukiacha zilizofanyiwa rehabilitation! Anaangalia strategic moves zaidi! Nazo ni kufika market ya Uganda na DRC kupitia Rwanda na Burundi! Hizo +700km ya kutoka Isaka kwenda Uganda inamaliza Makutupora-Mwanza!SGR kama reli nikitu chenye kukuwa hivyo baadae inatakiwa iwe na matawi to kigoma to kagera" bukoba" nk hivyo usiseme ajenge reli nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh bado mzee unajua wanahitaji wawezeshwe kwenye vifaa ingependeza phase ya 5 hivi au hata Mtwara-Bamba bay! Hii ya sasa inahitaji speed na preciseness na vifaa! Serikali inabidi iji-mobilize upande huo kwanza!
Tatizo hapo linakuja ni vifaa mkuuMimi nashauri hicho kipande wapewe mainjinia wetu tuone kama wameiva baada ya kushiriki ujenzi wa sgr dar Dodoma wakiwa na yap makenzi
Sent using Jamii Forums mobile app