Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Jamani mwenye idea ya jinsi Dar station itakavyo ezekwa hasa ambapo abiria watasimama kupanda treni daraja la juuView attachment 1383955


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Nadhani ukiangalia vizuri kuna pillars zinajengwa zitakuja kubeba airbridges za kupandia SGR! Pili kuna milango miwili inaonekana! Itakuwa ya kupitia abiria!
 
View attachment 1384417
Katika hizo beam kutakuwa na platform tatu, za treni 2, ya kusimama abiria 1[emoji3][emoji123][emoji123]



Sent from Gnet Phone using JamiiForums
ila moja ya kulia kabisa ni NGR na groundfloor! Huo mstari mweusi picha ya kwanza ni paa la platform ya viaduct! Pembeni yake kulia kuna paa la platform ya narrow gauge railway ambayo ipo groundfloor!



Swali langu ni hiyo line ya tatu itafikiwa vp na abiria? Watavukaje SGR ya kati? Au kutakuwa na airbridge nyingine? Au kutakuwa na tunnel kuifikia reli ya pili toka mjengoni?
 
Nikiangalia original lender ya Dar Station naona majengo mawili, mbona sasa liko moja?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
but hio platform ya kusimama ipo juu.. kuna usalama kweli? wanaweza kusukumana then kuangushana [emoji16]
itakuwa na protection barriers na kutoka na kuingia platforms itakuwa kwa kupitia airbridges ama escators ama ngazi na elevators! don't worry! Mimi hamu yangu ni kujua airia train 1 watafikiaje platform 1 ili kupanda na kushuka train 1! Kumbuka huwezi kuvuka reli kienyeji kama ilivyokuwa mwanzo unavuka kama unavuka barabara!

 
Kawaida train 2 ipo kama spare, train 1 ndio inayokuwa active at a given time kwa ajili ya kushusha na kupakia. Abiria hawawezi na wala hawataruhisiwa kuvuka kwenda kwenye train 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida train 2 ipo kama spare, train 1 ndio inayokuwa active at a given time kwa ajili ya kushusha na kupakia. Abiria hawawezi na wala hawataruhisiwa kuvuka kwenda kwenye train 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kuwa ya spare kaka, treni ikifika Mwanza kutakuwa na mzunguko mwingi wa abiria platform moja haitatosha imagine kutakuwa na EMU kwenda Morogoro ina maana almost kila saa kutakuwapo zinaingia na kutoka, ukichanganya na za kwenda Dodoma, Tabora na Mwanza na Mikoa mingine sidhani platform moja itatosha mie nadhani kutakuwa na namna ya kuingia platform ya pili either underpass then escallator/elevator. lets see how that puzzle will be sorted out!
 

Unachokizungumza kinawezekana iwapo wataweka nafasi ya kutosha ya kuwa na boarding platforms both sides kama unavyoona kwenye picha hii hapo chini halafu abiria watakua wanavuka ktk air bridge kwenda upande mwingine ili kupanda train 2. Consider sasa sisi boarding yetu ni juu ya viaduct, sioni kama na upande wa pili wa viadact kuna nafasi ya kutosha kuwa na second boarding platform bila kuhatarisha usalama wa abiria.

Mara nyingi use cases za design kama hiyo huwa ni kwa ajili ya train zinazokwenda kwenye route ambazo zinatumia rail line tofauti, eg, train 1 iwe inaelekea Lindi wakati train 2 iwe inaelekea Moro.

Alternatively, kama train zote zinatumia line moja kama ilivyo kwa SGR yetu kwa phase ya sasa; kinachofanyika ni ku-optimise line utilisation kiasi kwamba kila baada ya mda flani train itakua inaingia kituoni na kutoka bila kukosa. Sasa kuna kipindi unakuta train imegundulika kuwa na hitilafu karibia na kituo au ikiwa kituoni itabidi ibadili reli (kuna sehemu ya kubadili reli kabla ya kuingia kituoni) then inapaki hapo tunaposema ni train 2, kabla ya kwenda depot. Au pia inaweza kuwa imetoka depot kuja ku-ireplace hii nyingine then itapaki hapo mpaka train 1 itakapokwenda depot then itabadili reli na kuja kubeba abiria hapo kwenye boarding platform tunaposema ni train 1. Bila ya station kuwa na flexibility ya namna hio, traffic na overall utilisation efficiency itakuwa chini na watumiaji wataanza kulalamika pale train itakapopatwa na hitilafu.
 
Nikiangalia original lender ya Dar Station naona majengo mawili, mbona sasa liko moja?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio lender ni Render haya ni maneno mawili tofauti kbs.Kwenye kiswahili R na L tunazidi kuvavanga,huku kwny kingereza tutaumbuka.Mfano Rose na Lose.Makosa kama haya hubadili maana kbs.
 
Nimejaribu kufikiri sana hapo kupata logic kwa nini kuwe na treni mbili zimepaki kwny viaduct afu moja iko redundant kulikuwa na sababu gani ya msingi ya kuzipandisha zote mbili hapo juu?!!Maana hata kuileta hiyo nyingine upande wa pili kwny platform kwa ajili ya kupakia abiria itakuwa ni ka'process.Pia hapo kutakuwa na abiria wanaowasili na kuondoka tukiwachanganya kwa wkt mmoja hata kama ni kwa muda mfupi ni mziki kdg. Mimi nafikiri zile ngazi za nje zinazoonekana kwa nje zinaweza kuwa ni kwa ajili ya outlet ya abiria wanaowasili maana they have nothing to do with Terminal Building kivile na hata kama kuna verification zinaweza fanyika juu kbs au pale chini ya ngazi kama kuna ulazima huo.Ila sasa inabidi kuwe na mazingira rafiki kwa ajili ya kupumzika abiria wanaosubiri wenyeji wao.Kuna wengine watafika usiku they need to stay longer hadi kunakucha ndo waende makwao.Ni mtazamo tu.
 
hapa nimekupata.. ishu ya kuvuka naona kuna uweusi hapo unaunganisha viaduct na jengo.. huo uweusi labda ndo air bridge.. au zitatumika kama zile za airports
kwa design ninayoiona, inakaa treni zitakazowasili abiria watatokea nje ya jengo moja kwa moja yaani exit gates zitakutoa nje kwenda parking lots au bus stand!
 
Lengo ni kublock sgr Kenya kisaikolojia hivyo umuhimu upo sana tena ni wakimikakati unajua sababu mojawapo ya magufuli kufanya sgr yetu kuwa ya umeme ni kublock ushawishi wa sgr ya Kenya sasa hapo inabidi tuweke mikakati mezani ili kuua kabisa ushindani kutoka Kenya sgr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkakati ushawekwa mzee na route za Isaka-Kigali na Isaka-Mwanza ndo zinaanza! Nyie wa Bukoba mtangoja! The Jewel in the room is eastern DRC as has numerous mining activites n 55% of their cargo uses Dar port n also Rwanda at 90% of their cargo! Uganda ambao only 10% of their cargo goes to Dar port hawako committed na SGR kutoka Tanzania na tayari kuna meli mbili na ya tatu inakuja (Budget 2020-2021) kupitia lake Victoria! Waganda wana meli mbili za kubeba mabehewa!

Sikiliza hapa!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…