Fumbo mfumbie mjimga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]how can vitu high quality have low quality materials? English ilienda Othaya?
Ndo nmeshangaa eti high quality products with low quality materials [emoji3][emoji3][emoji382][emoji382]
Hahaaa!!utashangaa sana, tafuta mtoto wa class 8 hapo mpakani atakufafanulia vizuri[emoji3][emoji3]Ndo nmeshangaa eti high quality products with low quality materials [emoji3][emoji3][emoji382][emoji382]
Hapo hakuna fumbo lolote ukweli ni kwamba sgr kenya ni old model with high cost compared with sgr Tz, cc hatuna uwezo wa kujenga ma terminal makubwa km ninyi ili ku operate diesel train never ever, yn hatuwezi ni bora tuwe na vistesheni vyetu vya kimaskini hivi hivi lkn nyoka wa umeme apite cz ni rahisi kuvunja terminal na kuipanua lkn ni ngumu sana na gharama kubwa kubadili diesel network kuwa ya umemeSs kupigwa vp wkt huo ndiyo uwezo wetu, na ndiyo maana hata sgr yenu ina gharama kubwa kuliko yetu japokuwa yenu co ya umeme, ni kwasababu cc hatuna uwezo wa kununua vitu low quality kwa gharama kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Fumbo mfumbie mjimga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km hujui kucheza na maneno kaba, mi najua tena sana ku deal na watu km nynyi sector hyo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Na kamwe hamtoelewa nimaanisha nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Electric train gani new model ya 160km/h..Hapo hakuna fumbo lolote ukweli ni kwamba sgr kenya ni old model with high cost compared with sgr Tz, cc hatuna uwezo wa kujenga ma terminal makubwa km ninyi ili ku operate diesel train never ever, yn hatuwezi ni bora tuwe na vistesheni vyetu vya kimaskini hivi hivi lkn nyoka wa umeme apite cz ni rahisi kuvunja terminal na kuipanua lkn ni ngumu sana na gharama kubwa kubadili diesel network kuwa ya umeme
Is 160km/hr - 80km/hr = 40km/hr? [emoji3][emoji3]smh....Electric train gani new model ya 160km/h..
Yani train ya diesel (old model) imeachwa na train ya umeme (new model) kw difference ya 40km/h..
Kweli bado hujalielewa hilo fumbo langu[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
electric trains zinaweza kwenda hata 40 km/h haina tatizo ndo maana commuter trains pia zipo za umeme!Electric train gani new model ya 160km/h..
Yani train ya diesel (old model) imeachwa na train ya umeme (new model) kw difference ya 40km/h..
Kweli bado hujalielewa hilo fumbo langu[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Electric train new model ya 40km/h umeiona wapi weweelectric trains zinaweza kwenda hata 40 km/h haina tatizo ndo maana commuter trains pia zipo za umeme!
Heal the pain bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Is 160km/hr - 80km/hr = 40km/hr? [emoji3][emoji3]smh....
Dah 😂😂😂 hivi huwa ni una uwezo mdogo wa kufikiri kwenye maisha yako halisi au ni unajitoa ufahamu humu,
Heal the pain bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Electric train new model ya 160km/h[emoji122][emoji122]
Fumbo mfumbie mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwapa ukweli huu wanaumia snKenya imebugi sana kwenye reli, na mtakaa miaka mingi kutoka kwenye ujinga mliofanya kwenye hiyo SGR yenu.
Gharama ni kubwa alafu Reli ni old version ni sawa unanunua TV ya Chogo kwa bei ya flat screen.
Reli ya Tanzania ikikamilika, kwanza itakuwa ni kivutio kwenye jumuia ya africa mashariki hvyo tutegemee wageni wengi wanaokuja kusafisha macho kutoka huu ukanda wetu.
Tutegemee Landlocked countries kuja kupata connection ya kuunga kutoka kwnye hii reli, hakuna nchi itakayokuwa tayar kuja kujifunza kenya kupitia reli hyo ya diseli.
Tanzania inaenda kuwa economic hub ya Africa nzima, ndo nchi ya pekee itakayokuwa na mtandao wa kisasa wa usafirishaji wa bidhaa kwenda kwenye nchi zaidi ya nane.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwhyo electric train ya 160km/h ndio new model sio karne hiiFicha umbumbumbu wako mzee. Tembea Duniani ujionee, asilimia kubwa ya treni Ulaya zinatembea 160 km/h.
SGR yenu zaidi ya kuwa siyo electrified, ni jointed wakati ya Tanzania ni continuous welded.
SGR Kenya ndiyo reli yenye specs za chini kuliko reli zote zilizojengwa karne hii. Stupid Kunyans.
Kwhyo new model electric inakimbia kw speed ya 160[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya imebugi sana kwenye reli, na mtakaa miaka mingi kutoka kwenye ujinga mliofanya kwenye hiyo SGR yenu.
Gharama ni kubwa alafu Reli ni old version ni sawa unanunua TV ya Chogo kwa bei ya flat screen.
Reli ya Tanzania ikikamilika, kwanza itakuwa ni kivutio kwenye jumuia ya africa mashariki hvyo tutegemee wageni wengi wanaokuja kusafisha macho kutoka huu ukanda wetu.
Tutegemee Landlocked countries kuja kupata connection ya kuunga kutoka kwnye hii reli, hakuna nchi itakayokuwa tayar kuja kujifunza kenya kupitia reli hyo ya diseli.
Tanzania inaenda kuwa economic hub ya Africa nzima, ndo nchi ya pekee itakayokuwa na mtandao wa kisasa wa usafirishaji wa bidhaa kwenda kwenye nchi zaidi ya nane.
Sent from my iPhone using JamiiForums
wacha mihemko mzee, the issue at hand is a comparison btn the speed of 160km/h at the cost of $1.2 bln for electrical SGR Tanzania vs the speed of 120km/h at the cost of $3.8 bln for disesel SGR Kenya!
Electric train new model ni ipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah [emoji23][emoji23][emoji23] hivi huwa ni una uwezo mdogo wa kufikiri kwenye maisha yako halisi au ni unajitoa ufahamu humu,
Umeelewa ulichoandikiwa hapo juu au umejibu tu,
Muda mwingine huwa naona wanaokujibu wanakuonea tu.
Hahaaa!!kwhyo mfumo wa sgr ni old model, hebu nieleweshe kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..wacha mihemko mzee, the issue at hand is a comparison btn the speed of 160km/h at the cost of $1.2 bln for electrical SGR Tanzania vs the speed of 120km/h at the cost of $3.8 bln for disesel SGR Kenya!
Kwhyo new model electric inakimbia kw speed ya 160[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!mi nataka kuzijua hzo reli za umeme new model[emoji1787]Umeona ulivyo na tatizo, unachofikiri reli kuwa ya umeme ni speed tu, ngoja nikupe somo kidogo:
Ukitumia Reli ya umeme (Stima) inapelekea kupunguza matumizi ya Diseli ambayo unaagiza kutoka nje ya nchi kwa fedha za kigeni na badala yake unatumia umeme unaozalishwa ndani kwa vyanzo vyenu na hivyo kupelekea kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya nchi na sio kutoa hizo peza kwenda nchi za nje kwa ajili ya diseli.
reli ya umeme (stima) inalinda mazingira, kutumia reli ya diseli inapelekea kuzalisha greenhouse gases ambazo zinaenda either kusababisha ozone layer depletion au kusababisha ongezeko la joto duniani ndo maana ujenzi wa reli ya diseli haitakiwi kwenye karne ambayo dunia inapambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kupelekea nchi zilizoendelea kuanza kutumia teknolojia zinazotumia umeme (stima) kama magari na mitambo mengine na sio mafuta. Hivyo dunia inaenda mbele nyie wakenya mnairudisha nyuma mwisho wa siku mtabaki peke yenu nyuma.
Mafuta yanakwisha, hivyo kama mumejenga reli ya diseli na siku mafuta yakafiga omega ina maana nyinyi mtasimama wapi maana hilo deni la mchina itachukua miaka mingi kulimaliza. Ila mngetumia umeme (stima) basi mambo yangekuwa poa maana maji lazima yawepo or upepo au chochote kile maana umeme (stima) una vyanzo vingi tofauti na hiyo diseli yenu.
Reli ya umeme (stima) ina mvuto wa kipekee ambao unaleta faida kwa watalii, pia inapendezesha mji au nchi na kuipandisha hadhi na sio diseli ambayo mlioweka nyinyi.
Gharama za uendeshaji wa Reli ya Diseli ni kubwa maana bei tu ya ayo mafuta haupangi wewe bali wanapanga wengine hivyo siku diseli ikipanda basi mnaanza kuangaika na kuwaumiza wananchi kwa kupandisha bei ili msipate hasara wakati reli ya umeme (stima) ni nyinyi nchi kama nchi ndo mnafanya maamuzi.
Reli ya umeme (stima) iko more automated kuliko ya diseli, kuna systems nyingi sana za safety (usalama) ambazo zinafanya kazi kwenye reli za umeme (stima) tu kama vile kuzima treni kutokea headquarters endapo ikionekana inahatarisha usalama wa abiria kama vile mwendokasi mkubwa. Mtu wa headquarter anabonyeza kitufe uku mzigo unazima.
Sent from my iPhone using JamiiForums
So, unataka kujua tofauti ya speed kati ya treni ya umeme itakayo operate Tz na ile inayo operate UK c ndivyo?Hahaaa!!mi nataka kuzijua hzo reli za umeme new model[emoji1787]
Yani kamwe hamtonielewa kabisa km namaanisha nn
Sent using Jamii Forums mobile app