The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ss we jamaa kiongozi manaake nn, uwe na uwezo wa kuwa feed unaowaongoza au unataka uongozi wa kwny makaratasi tu bila reality?kawaida yenu mkishikwa nyeti. mwenzako Tanzanature kaingia mitini post yake kamgeuka, sasa ni jukumu lako kupindisha...
Kiongozi wa kweli kaonekana juzi tu hapa, baada ya kususa kutoa huduma watu wakampigia magoti hujaona au japo kuckia?kawaida yenu mkishikwa nyeti. mwenzako Tanzanature kaingia mitini post yake kamgeuka, sasa ni jukumu lako kupindisha...
That's a tiny building boss. Same size as one of the minor ones in Kenya like this one in EmaliWalker ilo jengo babkubwa sana wewe na wivu mmeanza lini urafiki?
Tacky. Here is a real glass building.Unasemaje?? Hebu ongeza sauti uckike [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1462182
Kwa sasa kijiti kipo kwenu kwa mkopo.kwa sasa kiongozi ni nani??[emoji848]
Wivu wivu wivu Edward Wanjala kuja umwambie uyu mkenya mwenzio apunguze wivu wa kijinga.
Unataka kufananisha ilo dude lenu ambalo basically seems like a dick na hili African Giant [emoji3][emoji3]
Na badoingHahahaha haha [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1463578View attachment 1463579View attachment 1463580
Your building is tacky. Poor quality glass.Unataka kufananisha ilo dude lenu ambalo basically seems like a dick na hili African Giant [emoji3][emoji3]
Hapa ni Nakuru.Hahahaha haha [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1463578View attachment 1463579View attachment 1463580
Another dream please. This one is too big for you.Walichobaki KENYA kujicfu ni ushuzi wa GDP ambao nao co muda tunakwenda kuuzika, watasema since Kikwete mnasema hv, but now we are very serious, tunaizika GDP kenya tunakuwa leaders kamili, kanchi kadogo kasiko na rasilimali za kutosha hakawezi tusumbua the Giant Tz
Maskini akipata shillingi kumi jirani tajiri hapumziki.Hahahaha haha [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1463578View attachment 1463579View attachment 1463580
Hahahaha nafurahi nikiona arrogant like u ukiumia [emoji382][emoji382][emoji3][emoji3]Maskini akipata shillingi kumi jirani tajiri hapumziki.
Naona hz picha za kitambo kidogo, mana now jengo limebaki kdg tu kufunikwa vioo kote.