Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Walker ilo jengo babkubwa sana wewe na wivu mmeanza lini urafiki?
That's a tiny building boss. Same size as one of the minor ones in Kenya like this one in Emali
images (65).jpeg
 

2412666_IMG_20200530_102708.jpg




MY TAKE
Ukiulizwa nini Dhambi ya rushwa, ubadhirifu na ufisadi, onyesha hapa kipindi hichi cha COVID19 ambacho SGR Kenya ilipaswa kunufaika, landlocked countries wanahepa hizi facilities, sababu gharama ya matumizi yake haziendani na market price kisa kuna watu walipewa mlungula na kupelekea mradi kuwa na gharama na vivyo hivyo gharama ya kulipa mkopo wa Mchina....




#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Walichobaki KENYA kujicfu ni ushuzi wa GDP ambao nao co muda tunakwenda kuuzika, watasema since Kikwete mnasema hv, but now we are very serious, tunaizika GDP kenya tunakuwa leaders kamili, kanchi kadogo kasiko na rasilimali za kutosha hakawezi tusumbua the Giant Tz
Another dream please. This one is too big for you.
 
Kwa hali ninayo iona Uganda [emoji1254] anaenda kuamishia shughuli zake TZ kwnye suala la Bandari, kwa huu mzozo ndo kabisa hata SGR hafikilii tena kuunganisha na hyo north corridor..in short hyo SGR ya north corridor ishakuwa white elephant
 
Back
Top Bottom