102-106 si ni 4km hip double track si ndo yakupishana.
Mbona uelewa finyu ivi we ubongo kulala?
Loopline ni kama njia ya train kuovertake. Na ndo maana kwa ile picha ulieka kulikua na rail lines mbili kutokea 102-106km.unamaanisha nn sasa?
sijui mambo ya loop lines! ila loop lines ni nn? na hii kwenye pic nimepost ni nn? na wala sio karibu na kituon hapo
waweza kuingia youtube uangalie distance ya 102-106 km
nasubir majibu uniambie hii kwenye pic ni loop lines or parallel lines au ni nn!
View attachment 1495193
We kichwa maji unadhani treni zinapishana kama gari pale tandale?
Si nyinyi ndo mlisema train zenu zitakua 5km long no wonder the Long loop lines.
??
102-106 si ni 4km hio double track si ndo yakupishana.
Mbona uelewa finyu ivi we ubongo kulala?
Loopline ni kama njia ya train kuovertake. Na ndo maana kwa ile picha ulieka kulikua na rail lines mbili kutokea 102-106km.
Kumaanisha hiyo loop line(double track) kwa picha uliyoeka ni 4km long.
Train zenu ni 2km long kama unavyosema so itaweza kupitisha
Siamini huelewi loopline ni nini na uko na smartphone au English ndo shidasoma hii mtitiriko (kwanza niliuliza maswal loop lines ni nin na parallel lines ni nn) then angalia comments umekoment nn!
Siamini huelewi loopline ni nini na uko na smartphone au English ndo shida
Nilikua nataka ujibu swali ... Unajua sometimes mwanafunzi akiuliza swali la kijinga, we kama mwalimu inabidi umuulize huyo mwanafunzi maswalli kadhaa alafu katika yale majibu huyo mwanafunzi atajikuta kumbe amejijibu mwenyewe!
Kwenye hizo stesheni za Kenyakuna loop lines ambapo treni zinapishana,
Tanzania hamna double track (parallel lines), mko na hizo loop lines na station sidings ambapo treni zinapishana kama sisi ! Ile screenshot ulio ileta mwenyewe inayasema hayo kabisa!
View attachment 1495085
And FYI, Kenya SGR from Nrb-Msa kuna 9 passenger stations, but outside hizo stations kuna about 31 points ambako kuna loop lines ambazo zinaruhusu treni kupishana, so in total there are about 40 different places within the route ambako treni zinaweza kupishana
Nadhani watakuwa wanahofia uwezekano wa kushikiliwa na wadeni wetu kama ilivyokuwa ndege. Niko very optimistic kuwa hii tenda kapewa Bombardier na tunajua Canada walivyo wepesi kuruhusu assets zetu kushikiliwa.mbona wanafanya siri mno? Tatizo nn? Mbona ndege walikuwa wanatangaza?
Soma hiyo picha vema uielewe. Hiyo 102 - 106 imewekewa maelezo yake: wire pulling, track laying, nk. Hiyo double track imeonekana tu na hivyo haimaanishi kuwa section yote ya 4 km iko hivyo. Unakwama wapi jombaa?102-106 si ni 4km hio double track si ndo yakupishana.
Mbona uelewa finyu ivi we ubongo kulala?
HIvi nikikuonyesha hii picha ya Kenya utaniambia ni loop line au ni parallel line, from this pic unaeza ukaniambia ni parallel but its just cause hauoni wapi zinakutana huko mbele/nyuma, but its just a loop line. Kwahivyo ni mpaka unionyeshe hapo nyuma au mbele ya hio picha kuna nini ndo nitaweza kukwambia kama ni loop line au la.soma hapa vizur!
- loop lines ni nn?
- parallel lines ni nn?
- hii picha hapa chini ni loop lines au parallel lines?
- je, parallel lines ni lazima iwe zaid ya 10km?
nadhan umeelewa
View attachment 1495391
HIvi nikikuonyesha hii picha ya Kenya utaniambia ni loop line au ni parallel line, from this pic unaeza ukaniambia ni parallel but its just cause hauoni wapi zinakutana huko mbele/nyuma, but its just a loop line. Kwahivyo ni mpaka unionyeshe hapo nyuma au mbele ya hio picha kuna nini ndo nitaweza kukwambia kama ni loop line au la.
Naona hili neno la parallel lililo anza kutumika na Geza linawachanganya........... tuliache hilo neno la parallel na tutumie the correct term ambayo ni double-track railway vs Single track railway..
Ninachosema ni kwamba both Kenya na Tanzania tuko na single track railway, Alafu loop lines ndo zinasaidia reli kupishana na nyengine ikiwa zinatoka oposite side au moja inataka ku overtake nyengine going the same direction..... Loop line hua ni line ambayo inagawanyika mara mbili au zaidi alafu kwa distance kidogo (lets say less than 5km) inaungana tena na kurudi single line..
Lakini kwa double track rail, Track moja ni ya kwenda upande mmoja, na track nyengine ni kwenda upande mwengine, hakuna siku treni ya kwenda upande mmoja itapitia na huko kwengine, yani kuna total track separation...... Yani kama ni treni ya kutoka Dar inatumia line moja na treni za kutoka Moro zinatumia track nyengine kwahivyo hakuna mahali zitawahi ku kutana njiani...
Kwahivyo ili tumalize hii argument, nitasema anything less than 10km is loop/crossig lines na station siding lines for a single track railway..... Kwa mfano pale kwa lile daraja lenu ya kuelekea kituo cha Dar, hapo lazima wataweka multiple lines ili treni nyingi zipishane...
Yes, Generally hivyo ndo iko.hayo yalikuwa ni maswali.. sio argument points! kuhusu hio picha angalia video ya MAY progress distance ya 102-106 utaiona vizuri ilivyo! ila umeeleweka! so generally, double track rail ni kama zile reli mbili zinatoka station moja hadi nyingine bila kukutana, each in separate direction!
Give him example with this picture here.HIvi nikikuonyesha hii picha ya Kenya utaniambia ni loop line au ni parallel line, from this pic unaeza ukaniambia ni parallel but its just cause hauoni wapi zinakutana huko mbele/nyuma, but its just a loop line. Kwahivyo ni mpaka unionyeshe hapo nyuma au mbele ya hio picha kuna nini ndo nitaweza kukwambia kama ni loop line au la.
Naona hili neno la parallel lililo anza kutumika na Geza linawachanganya........... tuliache hilo neno la parallel na tutumie the correct term ambayo ni double-track railway vs Single track railway..
Ninachosema ni kwamba both Kenya na Tanzania tuko na single track railway, Alafu loop lines ndo zinasaidia reli kupishana na nyengine ikiwa zinatoka oposite side au moja inataka ku overtake nyengine going the same direction..... Loop line hua ni line ambayo inagawanyika mara mbili au zaidi alafu kwa distance kidogo (lets say less than 5km) inaungana tena na kurudi single line..
Lakini kwa double track rail, Track moja ni ya kwenda upande mmoja, na track nyengine ni kwenda upande mwengine, hakuna siku treni ya kwenda upande mmoja itapitia na huko kwengine, yani kuna total track separation...... Yani kama ni treni ya kutoka Dar inatumia line moja na treni za kutoka Moro zinatumia track nyengine kwahivyo hakuna mahali zitawahi ku kutana njiani...
Kwahivyo ili tumalize hii argument, nitasema anything less than 10km is loop/crossig lines na station siding lines for a single track railway..... Kwa mfano pale kwa lile daraja lenu ya kuelekea kituo cha Dar, hapo lazima wataweka multiple lines ili treni nyingi zipishane...
[emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]Give him example with this picture here.
View attachment 1497036
That's in Mombasa port I want example of 50 km of double lines!Give him example with this picture here.
View attachment 1497036
Wewe leta kwanzaThat's in Mombasa port I want example of 50 km of double lines!
angalia videos!Wewe leta kwanza