Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR
Kenya vs Tanzania
*Kenya imemaliza kwa wakati
*Kenya imeanza kazi
*Kenya reli inaenda straight kwenye container terminal bandarini.
*Kenya ililenga Abiria na Bandari ndo first priority.
*Kenya bado kufikia lengo kuingia Uganda
*Kenya -Rwanda bado ni challenge

*Tanzania Tayari imechelewa kwa miezi 12...gharama zinazidi na hakuna uwazi.
*Tanzania Wazo la Awali ni Dar-Mwanza
*Tz wakabadili gear baada kina Zitto kulaumu kuwa Mwanza ni Umimi lakini hakuna tija kiuchumi
Tz ikabadili kwenda Rwanda-DRC ingawa
*Michoro iizingatia Abiria kama priority na kusahau Bandari. Hivo Yapi kwa Dar mwisho Station ya Zamani.
*Mizigo sasa baada kusahauliwa Reli ya Zamani ya Mafuta itafufuliwa mpaka Kibaha ili kuchukua Containers bandarini hadi Inland port hapo kibaha.
*Hakuna uhakika kama foleni za Malori bandarini kupungua kutokana na kosa hili.
*Main station na sub station za Tz ni za kawaida sana hazikuzingatia technologia na facilities za kisasa.
*Station bus mpya ya Dodoma tulopata msaada wa Ni ya kisasa kuliko station zote za SGR.
*Tumejenga kwa sababu nimejenga mbona wengine hawakujenga lakini miradi ya nchi sio ya binafsi bali huzingatia maslah ya Taifa kwa miaka 100 ijayo.
*Kama Daraja la Tazara halikusaidia kuondoa foleni ya malori kutoka bandarini kutokana na kujengwa kwa dhana ya "si nimwjenga daraja "
Vivo hivo daraja za Ubungo baada WB kusua sua imejengwa kwa kinyume na plan ya awali. Malori na waendao mlimani au Mandela ni mtindo wa round about chini ya madaraja.
Tumeharibu Mwendo wa kasi Ikinyesha Mvua hakuna kuingia mjini.
Daladala hazikupungua mjini zipo kama zamani tu. Adha ya usafiri ipo pale pale.
Barabara za gari za private Mwendokasi zinatumika na daladala na hazina vituo vyao husimama njiani. Vurugu tupu.
Hakuna nidhamu.
Tumekopa $400m kujenga DART na pavement za kupita Watu tumewapa machinga kuuza mitumba. Watembea muguu wana share njia na magari. Mambo ya hovyo kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalale la porojo zako....za vijiweni...
 
Kalale la porojo zako....za vijiweni...
Ukweli unauma .
Miradi ya kitaifa imeharibiwa kwa kutaka sifa.
Kuna huu wa daraja la coco beach ni mradi wa kupoteza pesa.
Nao pia Unakwenda kinyume na master plan ya jiji ya kupunguza foleni ilianzia na DART I.
Kakurupuka tu tena bila kuangalia uharibifu wa mazingira.
Bahari na beach ya Toure drive eneo la Coco imeliwa na mradi.
Umesikia wapi barabara kujengwa ufukweni ?
One man show na kila mtu anamuogopa kumwambia hapa no.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luanda Angola, Brazil Copa Cabana beach Rio de Janeiro, US california Long beach n so many prominent beaches around the world!





 
Saa zingine kama huna kitu cha kuandika bora unyamaze
 
Yani hata ujui unach sema ....yn umekuja kuniambia coco beach ni nini mbn km akili yako iko likizo....alaf wawap mbn unaushamb ulio pitiliz yani unashanga barabara za fukwe aiseee...ndio mana wapinzani wa nchi hii ni chenga km chama cheny influence kubwa ofisi kuu ndio ile ..hupaswi hata kuhoj kitu kusu serikal ikiwa wakat huko kweny vyama ni upupu mtupu....sita shanga ukiungana n wale wanao sema Tz siyo middle income bali ni low middle income....yani niupupu mtupu....hata kukusikiliza
 
Luanda Angola, Brazil Copa Cabana beach Rio de Janeiro, US california Long beach n so many prominent beaches around the world!





Wewe vipi hizo barabara zimejengwa mbali na sio kuchukua beach kuweka lami.
Ni bahari imesogea karibu.
Hata barabara ya sasa ya Tiure imepita along coco beach . Ilipo jengwa haikula beach.
Sio sahihi kuharibu mazingira na sheria zetu zinakataza kujenga 25 metres kutoka beach.
Tatizo lenu hata Magu akikosea akifanya hujuma dhidi ya mazingira mtaunga mkono tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi umeharibu madhari ya beach ya coco.
Kilo mita 2 zimekula beach area.
Wewe endelea na ujinga wako wa kusifu kila kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi kuogelewa pwani wewe au ushamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…