Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hizi beach mbili zimekuwa reclaimed ! kama unajua historia ya beach za Copa Cabana na hii ya Luanda Angola
 
Huu upupu nimejaribu kuusoma nimeshindwa. Imebidi niishie njiani. Clueless.
 
Walikuwa wanasema kila cku tupo kwenye 70s% leo wameona 80% wamekaa kimya.
70% mwaka jana hyo, mwaka huu july ndio mko 80%[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani 70-80 mmechukua karibia mwaka nakwambia..nov2019-july2020
 
Hapo kuna beach ?
Ni very simple coco beach ni public beach miaka zaidi ya 100
Wacheni ushamba coco area iko katika mpango wa jiji kuifanya sehemu ya kupumzikia na recreation
Mtu mmoja anafanya atakavo.
Hata slipway kumejengwa mpaka baharini hakuna shida hakuja beach ya public ni coral area.
Hata Golden tulip ikejengwa ni coral area.
Kinacho endelea toure drive ni uharibifu wa mazingira tu
 
Vipi bandari tuzibomoe?
Ushamba huo....kila kitu kina mipango yake.
Jiji lina mpango wake
Na DART 4 inaelekeza vipi Salender bridge itapanuliwa bila kuingia mkopo wa kujenga daraja jengine.
Pigeni makofi tu
 
Ww kweli hamnazo....nilikuona tu...nikajua naongea na akili ndogo...kwaiyo ww ndio mkandarasi siyo...?[emoji16][emoji16][emoji16]
Ukweli haujifichi
Mradi phase ya mwanzo iko vipande vipande ambavo hupigwa picha kila siku.
Kati 300+ to Moro hakuna hata 50kms ziloisha kwa pamoja.
Nguzo za umeme bado kukamilika
Hakuna station yoyote ilio kwisha
Kituo kikubwa na vidogo vya Control yaani Cintrol Rooms hamna kilicho kwisha.
Hakuna hata locomotive na coach zilizo fika nchini.
Hata order ya nani atatengeneza bado...ilitoka tender tu.
Kituo kikubwa na standby generator bado
Sasa mdamdanganya nani
 
Ivi nikusaidie tu ili usiendele kujivunjia heshima kwanini usiende kuangalia report ya june alafu ndio uje hapa ....acha izo argument za kitot..aisee shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…