Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Zigi Rizla, Kuwa na adabu na upunguze matusi,

Hivi unadhani matusi uliyoyaandika jana kutwa nzima mod hawajaona!

Au huwa unadhani JamiiForums ni kijiwe ambacho unaweza kuandika matusi ovyo utakavyo!

Ukiwa na adabu wala hutoona mod wakiangaika na wewe,

Nenda kasome sheria na JamiiForums,

Ukiona huwezi kufata sheria za humu rudi kwenye forums zenu za kikabila na zinazokubali matusi,

Ukosefu wa adabu ndio unaita freedom of speech [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…