Ingekuwa enzi za Kikweteangepata,ila kwa Jpm,lazima agonge mwamba!Mzee Cheyo na kampuni yake ali-submit bid ya ku-supply trains za SGR wakapigwa chini wakaenda mahakamani kukata rufaa, nako huko wakapigwa chini, angalia screenshot hapa chini:
View attachment 1519010
XX
View attachment 1519011
Uko Wrong, Wale Wanaofnya Biashara Kwenye Pavement za waenda Kwa Miguu Wanalipa Kodi Aisee, Wana Vitambulisho vya Ujasiliamali Wale na Kmbuka Wale ni Watanzania Km WwSGR
Kenya vs Tanzania
*Kenya imemaliza kwa wakati
*Kenya imeanza kazi
*Kenya reli inaenda straight kwenye container terminal bandarini.
*Kenya ililenga Abiria na Bandari ndo first priority.
*Kenya bado kufikia lengo kuingia Uganda
*Kenya -Rwanda bado ni challenge
*Tanzania Tayari imechelewa kwa miezi 12...gharama zinazidi na hakuna uwazi.
*Tanzania Wazo la Awali ni Dar-Mwanza
*Tz wakabadili gear baada kina Zitto kulaumu kuwa Mwanza ni Umimi lakini hakuna tija kiuchumi
Tz ikabadili kwenda Rwanda-DRC ingawa
*Michoro iizingatia Abiria kama priority na kusahau Bandari. Hivo Yapi kwa Dar mwisho Station ya Zamani.
*Mizigo sasa baada kusahauliwa Reli ya Zamani ya Mafuta itafufuliwa mpaka Kibaha ili kuchukua Containers bandarini hadi Inland port hapo kibaha.
*Hakuna uhakika kama foleni za Malori bandarini kupungua kutokana na kosa hili.
*Main station na sub station za Tz ni za kawaida sana hazikuzingatia technologia na facilities za kisasa.
*Station bus mpya ya Dodoma tulopata msaada wa Ni ya kisasa kuliko station zote za SGR.
*Tumejenga kwa sababu nimejenga mbona wengine hawakujenga lakini miradi ya nchi sio ya binafsi bali huzingatia maslah ya Taifa kwa miaka 100 ijayo.
*Kama Daraja la Tazara halikusaidia kuondoa foleni ya malori kutoka bandarini kutokana na kujengwa kwa dhana ya "si nimwjenga daraja "
Vivo hivo daraja za Ubungo baada WB kusua sua imejengwa kwa kinyume na plan ya awali. Malori na waendao mlimani au Mandela ni mtindo wa round about chini ya madaraja.
Tumeharibu Mwendo wa kasi Ikinyesha Mvua hakuna kuingia mjini.
Daladala hazikupungua mjini zipo kama zamani tu. Adha ya usafiri ipo pale pale.
Barabara za gari za private Mwendokasi zinatumika na daladala na hazina vituo vyao husimama njiani. Vurugu tupu.
Hakuna nidhamu.
Tumekopa $400m kujenga DART na pavement za kupita Watu tumewapa machinga kuuza mitumba. Watembea muguu wana share njia na magari. Mambo ya hovyo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa jamaa... kwani pavement walojengewa ni machinga au waenda kwa miguu?Uko Wrong, Wale Wanaofnya Biashara Kwenye Pavement za waenda Kwa Miguu Wanalipa Kodi Aisee, Wana Vitambulisho vya Ujasiliamali Wale na Kmbuka Wale ni Watanzania Km Ww
Mkuu ungeenjoy kukuona kina mama hawajui wapate wapi riziki kisa pave n ya wa miguu?Hujamuelewa jamaa... kwani pavement walojengewa ni machinga au waenda kwa miguu?
Huwezi kujenga hospitali alafu ukaitumia kama ofisi za chama kwamba na wao ni watanzania kama wewe.
Kudhania sidewalk sio muhimu ni sawa na kusema parking haina haja!Mkuu ungeenjoy kukuona kina mama hawajui wapate wapi riziki kisa pave n ya wa miguu?
Hospital ikiwa haina watu cuf wanaweza kodi kwa shuhuli zao maana hospital si majengo ni huduma tukiondoa huduma na watoa huduma panafaa kuwa ofisi ila kwani bila ofisi za chama kuna mtu atapata tatizo la ukwasi wa pesa?
Wamachinga wanaharibu utaratibu ila ni vyema tujue kwanza tanzania iko katika mfumuko population yetu kubwa imeaanza kuingia kwenye uzalishaji hivyo hata mifumo ya zamani haiwezi beba idadi ya watu wanaoanza ishu ndogo ndio maana nadhani gvt inajenga masoko mengi ili wawe accommodated ndio nazani itakuwa time nzury ya kuwapunguza
Ila kuthaminisha pave za mguu over them ni upungufu wa maarifa let them fight tukiwaza utaratibu na ujue hao wa kwenye pave leo ndio watamultply millionaires in the future
OkayKudhania sidewalk sio muhimu ni sawa na kusema parking haina haja!
Mitazamo kama yako ndo inayorudisha Africa nyuma. Badala ya kuplan miaka 50 hadi 100 mbele, tunabaki kureact na hali iliopo. Mfumuko wa population sio jambo ngeni, kila baada ya miaka 10 tunahesabiwa. kwaiyo trend inafahamika, huwezi tena ukaja na hiyo kama excuse ya failure.
mkuu mnapishana sehemu ndogo sana ....kwa kawaida kiuhalisia si kama wamachinga wanapingwa ila lazima utaratibu ufuatwe na tutengeneze mazingira rafiki ya wafanyabiashara wadogo wadodogo na tuwatoe ulimbukeni wamachinga kwa kukariri kuwa biashara ipo barabarani/pembezoni mwa barabara pekee....Mkuu ungeenjoy kukuona kina mama hawajui wapate wapi riziki kisa pave n ya wa miguu?
Hospital ikiwa haina watu cuf wanaweza kodi kwa shuhuli zao maana hospital si majengo ni huduma tukiondoa huduma na watoa huduma panafaa kuwa ofisi ila kwani bila ofisi za chama kuna mtu atapata tatizo la ukwasi wa pesa?
Wamachinga wanaharibu utaratibu ila ni vyema tujue kwanza tanzania iko katika mfumuko population yetu kubwa imeaanza kuingia kwenye uzalishaji hivyo hata mifumo ya zamani haiwezi beba idadi ya watu wanaoanza ishu ndogo ndio maana nadhani gvt inajenga masoko mengi ili wawe accommodated ndio nazani itakuwa time nzury ya kuwapunguza
Ila kuthaminisha pave za mguu over them ni upungufu wa maarifa let them fight tukiwaza utaratibu na ujue hao wa kwenye pave leo ndio watamultply millionaires in the future
Ndio maana nkalike post yake ili aewelewe simpingi sema kaongea direct na my comment was bit short kuna vitu siku elaborate vizury ila tuko na same meaningmkuu mnapishana sehemu ndogo sana ....kwa kawaida kiuhalisia si kama wamachinga wanapingwa ila lazima utaratibu ufuatwe na tutengeneze mazingira rafiki ya wafanyabiashara wadogo wadodogo na tuwatoe ulimbukeni wamachinga kwa kukariri kuwa biashara ipo barabarani/pembezoni mwa barabara pekee....
Hii dhana imewaathiri wamachinga wengi sana kiasi cha kwamba huwa hawafikirii extra mile ya mbinu za kibiashara zaidi ,mfano mmachinga ukimjengea soko huwa anagoma nakusema kuwa wateja wake ni wale wanaopita njiani yaani wateja wasio na mihadi yaani plan ya kununua kitu ama vitu na ndiyo maana ukiwapa fursa wanaziba hadi vituplo vya daladala bila kujali usalama wao..
kwa kweli hii hali si nzuri ni hatarishi na inaharibu sura ya jiji,,na kamwe hali ya kuongezeka kwa wamachinga huwa haipungui bali huongezeka mara dufu kadri miaka inavyosonga ,tusipoithibiti hii hali nakuambia majiji yetu yatatapakaa vibanda pembezoni mwa barabara kuanzia kariakoo hadi kibaha,kariakoo hadi mbagala,kariakoo hadi sinza,kariakoo hadi temeke,kariakoo hadi gongo la mboto nasehemu nyinginezo mwisho wa siku itakuwa haina maana kuwa na miundo mbinu bora....
wamachinga hawapungui bali huongezeka tena kwa speed ya hatari watu wameamka...ni kuwatengenezea tu mazingira na si kutapakaa vibanda kila kona haileti picha nzuri
Km hz au[emoji116][emoji116]Mbona article ya Wikipedia inasema Tanzania tayari imesha-order 6 stadler locomotives. Means sio EMU, yani ni locomotive + carriages (mabehewa) kama kama ile ya Kenya na Ethiopia. Though it’s not officially anounced. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Kama itakuwa kweli basi tutakuwa tumezingua kinyama.
Km hz au[emoji116][emoji116]View attachment 1527841
Ss mbn hyo ni EMUYeah.. ni hizo, yani hapo nyuma wanaunganisha mabehewa ya abiria na mizigo. Sasa sijui kama ni uhakika.
Hzo ni EMU pia ni za mizigo hizo but za abiria ilisemekana ni km hz [emoji116][emoji116]Yeah.. ni hizo, yani hapo nyuma wanaunganisha mabehewa ya abiria na mizigo. Sasa sijui kama ni uhakika.
Hzo ni EMU pia ni za mizigo hizo but za abiria ilisemekana ni km hz [emoji116][emoji116]View attachment 1527864
Nimekupata mkuu, lkn mbn hyo stadler iko poa tu haifanani kabisa na ile ya Ethiopia, pia hyo inasemekana ni kwa ajili ya mizigo ila kwa abiria wanasema zinakuja km hyo nliyokuwekea ambayo pia inatunza chaji kwa masaa flani.MU ni tofauti na locomotive mkuu, japo zote zinaweza kuwa electric powered.
MU engines zinakuwa kwny train yenyewe, yani haihitaji locomotive (kichwa) kujiendesha. MU trains inaweza kuwa electric (EMU), diesel (DMU), electro-diesel (EDMU), etc. Mfano hiyo uliyoweka ni MU.
View attachment 1527880
Na Locomotive ni kichwa cha train ambacho kinakuwa na engines. Unaunganisha na mabehewa ambayo yatavutwa na locomotive. Locomotive pia inaweza kuwa electric powered, diesel powered, etc. Inaweza pia kuunganishwa mabehewa ya abiria au ya mizigo. Mfano ile ya Kenya ni diesel locomotive na sio DMU.
View attachment 1527881
Ila kwa upande wa trc ndo jamaa wamesema wameagiza 6 locos, 3 za mizigo na 3 za abiria. Sema chanzo ndo sio cha uhakika.
Nimekupata mkuu, lkn mbn hyo stadler iko poa tu haifanani kabisa na ile ya Ethiopia, pia hyo inasemekana ni kwa ajili ya mizigo ila kwa abiria wanasema zinakuja km hyo nliyokuwekea ambayo pia inatunza chaji kwa masaa flani.