SGR
Kenya vs Tanzania
*Kenya imemaliza kwa wakati
*Kenya imeanza kazi
*Kenya reli inaenda straight kwenye container terminal bandarini.
*Kenya ililenga Abiria na Bandari ndo first priority.
*Kenya bado kufikia lengo kuingia Uganda
*Kenya -Rwanda bado ni challenge
*Tanzania Tayari imechelewa kwa miezi 12...gharama zinazidi na hakuna uwazi.
*Tanzania Wazo la Awali ni Dar-Mwanza
*Tz wakabadili gear baada kina Zitto kulaumu kuwa Mwanza ni Umimi lakini hakuna tija kiuchumi
Tz ikabadili kwenda Rwanda-DRC ingawa
*Michoro iizingatia Abiria kama priority na kusahau Bandari. Hivo Yapi kwa Dar mwisho Station ya Zamani.
*Mizigo sasa baada kusahauliwa Reli ya Zamani ya Mafuta itafufuliwa mpaka Kibaha ili kuchukua Containers bandarini hadi Inland port hapo kibaha.
*Hakuna uhakika kama foleni za Malori bandarini kupungua kutokana na kosa hili.
*Main station na sub station za Tz ni za kawaida sana hazikuzingatia technologia na facilities za kisasa.
*Station bus mpya ya Dodoma tulopata msaada wa Ni ya kisasa kuliko station zote za SGR.
*Tumejenga kwa sababu nimejenga mbona wengine hawakujenga lakini miradi ya nchi sio ya binafsi bali huzingatia maslah ya Taifa kwa miaka 100 ijayo.
*Kama Daraja la Tazara halikusaidia kuondoa foleni ya malori kutoka bandarini kutokana na kujengwa kwa dhana ya "si nimwjenga daraja "
Vivo hivo daraja za Ubungo baada WB kusua sua imejengwa kwa kinyume na plan ya awali. Malori na waendao mlimani au Mandela ni mtindo wa round about chini ya madaraja.
Tumeharibu Mwendo wa kasi Ikinyesha Mvua hakuna kuingia mjini.
Daladala hazikupungua mjini zipo kama zamani tu. Adha ya usafiri ipo pale pale.
Barabara za gari za private Mwendokasi zinatumika na daladala na hazina vituo vyao husimama njiani. Vurugu tupu.
Hakuna nidhamu.
Tumekopa $400m kujenga DART na pavement za kupita Watu tumewapa machinga kuuza mitumba. Watembea muguu wana share njia na magari. Mambo ya hovyo kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app