Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbona unaongea kama huna ufaham wowote?..kama kitu hujui siunauliza
Wewe hufahamu uko Dar au chato ?
Umepita pale crossing ya kamata ? Overhead ya SGR na pillar zake pale chini imeziba kabisa njia ya Njia ya reli ya Zamani
Au nayo itaruka ?
SGR kwa mjini imepita juu ya MGR
 
Usinilete upimbi wako wa chama mm.....pili kwaiyo skuizi buguruni ni kamata?...unaka porini nini ww....kwani walivyo funga kituo pale station na kuamishia k/koo kwajili ya kupisha ujenzi wa SGR hukuskia
 
nimejaribu kuelewa comment yake ila nimeshindwa.. au anadhan treni kutofika Station ni kwasababu SGR imeblock MGR??

labda nijibu.. treni inaishia kamata kwasababu kituo cha zaman cha Station kinajengwa upya na kufanya SGR na MGR kuwa in station moja (Tanzanite Station)... baada ya Station kukamilika... pale kamata SGR na MGR zote zitapita kwenye route zao bila shida.. SGR juu na MGR chini kama ilivyokuwa zaman
 
Inaonekana yuko less informed ila analeta na siasa ndani yake ili kuprove point yake...
 
Acha maneno ya kujifariji eti hu support electrification ya train yenu,the bitter truth is that,mliingizwa chaka na wachina.
Wacha kurupukwa! Kama hukuelewa hoja uliza uelezewe! Mi nasema si support electrification kwa sasa miaka michache baada ya kujenga Diesel. The only time tunafaa ku upgrade to Electric ni baada ya reli kufika maximum capacity yake ikitumia Diesel-Electric engine, tukifika hapo ndo tunafaa tuseme sasa reli imefika capacity yake na njia ya kuongeza capacity ya reli bila kugaramika sana ni ku electrify ... comprende!!!???
 
Punguza ujuaji, Kinyetezi power plants are not dedicated for SGR use. Ni akili ya wapi hio kujenga power plant kwa ajili ya SGR pekee...
bila hio power plant mpya SGR ya TZ ingekua ni ndoto! thats a fact! Kwahivyo SGR yenu inatengemea hicho kiwanda ndo ifanye, lakini hicho kiwanda si lazima SGR ndo kitumike.
 
Kenya Railways Marine School Under Construction in Kisumu

EekrNhTWAAEqj80
 
Kenya is Taking back Uganda oil supply contracts from Competitors!
So far, 8,400,000 litres of fuel have been delivered via Lake Victoria to the Jinja Storage Terminal from Kisumu, Kenya.

Ee64AyzWsAIlGOS

Ee64AOnWoAU_daZ

EezP7wSXoAEl8jZ

Edb67hmXkAEo-aC

EdbkpcaXsAA96Np
 
Inaonekana yuko less informed ila analeta na siasa ndani yake ili kuprove point yake...
Hicho kituo sio cha muda tena.
Ndio kitatumika hapo.
Walifikiria hivo lakini kile kituguu cha ststion hakitoshi kuhudimia treni zote.
Na ni katika kujenga na kubana matumizi nila kifikiria 10 , 20 0r 50 years itakuaje.
Main station tayari tatizo then uunganishe na reli kati ?
Akili au matope ?
90% ya SGR abiria watapanda main station na reli ya kati pia.
Hii reli ni vision ya kitaifa ila inasukumwa tu alimradi nimefanya.
 
Ndio tatizo la kuwa less informed ...ona unacho ongea yani unaongozwa na mada za vijiweni....kile kituo kikuu pale station kita hudumia vitu vitatu moja ni train ya SGR itakayo kuwa ina platform 2floor pili ni MGR itakayo kuwa na platform ground floor plus BRT kwa njee . Sasa huu upuzi wa siasa njaa kweny mambo ya msingi peleka vijiweni mnapo danganyana km wajinga
 
Na nyie mna sifu tu miradi mikubwa kufanywa hovyo.
Vision hii inakamilishwa hovyo bila kuzingatia hali halisi na mahitaji.
Sasa wewe unaona hio main station ilo jibana kutumika kwa reli mbili ni sawa?
Mmeona Mjerumani kaipeleka hapo na nyinyi mkaona ndio hapo hapo inafaa kufanya stesheni kuu ?
Reli mpya muhimu lakini sio kujenga kwa utashi wa mtu mmoja.
Tutaendelea kusema na kukosoa kuwa mradi unatekelezwa hovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Railway wanamiliki ardhi kubwa sana toka central kuja Gerezani na BP Kurasini mpaka Ilala Shaurimoyo utakuwa Mpumbavu kuiacha hiyo ardhi! Ficha ujinga!
 
Back
Top Bottom