Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwanza huna information za kutosha juu ya mradi kama tu eneo la trc hujui linaukubwa gani pale station inaonekan ww ni chenga tupu ,pili unaingiza siasa kwenye vitu vya msingi...sasa ww nikulize unavyo sema ndogo unamanisha nini hasa...mana syo napoteza mda wangu na zuzu....
 
Ila in the future dar lazima we na stesheni mbili. ....Kama miji mingi mikubwa duniani. Mfano Beijing wana stesheni mbili kama sio zaidi. Sisi tuwe na nyingine hata gongolamboto au mbezi. Ili kuufungua mji
 
station za bus au SGR?
 
Ila in the future dar lazima we na stesheni mbili. ....Kama miji mingi mikubwa duniani. Mfano Beijing wana stesheni mbili kama sio zaidi. Sisi tuwe na nyingine hata gongolamboto au mbezi. Ili kuufungua mji
Station za kitu gani huja eleweka?
 
Ila in the future dar lazima we na stesheni mbili. ....Kama miji mingi mikubwa duniani. Mfano Beijing wana stesheni mbili kama sio zaidi. Sisi tuwe na nyingine hata gongolamboto au mbezi. Ili kuufungua mji
Kwani Pugu si Dar?
 
Unakaa Dar au uko wapi wewe ?
Umeshawahi kufika stesheni wakati treni ikiondoka au kufika?
Barabara yote ya Sokoine/Kilwa una freeze kutokana na abiria na harakati za mizigo.
Sasa hii treni inatarajiwa kuwa na abiria wengi zaidi ikikaamika. unafikiri itakuaje pale ikileta abiria 3000 kuanzia mwanza ?
Kuna siku niliganda saa nzima kusubiri magari yapungue kuchukua abiria.
Na wengine humu wanasema Reli ya kati itaendelea kutumia kituo hiki hii ina maana Foleni ya Kilwa road niya kudumu.
Kuna wengine wanasema mbona ulaya treni zinaingia mjini ?
Hizo ni metro na husimama vituo vingi na sehemu kubwa ni underground.
Treni ya masafa marefu mfano tube haisimami katikati ya london.
Kuileta Sgr katikati ya jiji ni strategic mistake. Wajerumani walejenga pale sababu reli ikitumiwa sana na wao wenyewe na goverment officials pamoja na wahindi waliokua wakikaa mjini.
Leo hali imebadilika wakaazi wa mjini huku sio watumiaji treni ya zamani hata hii Sgr.
So why uwalete huku uhindini ?
Na ni kutokua na uwezo wa kufikiria future...ni mkurupuko.
Kwani Mwalimu alipo jenga Tazara main station pale ilipo hakuiona hii station ya sasa.
Mbona hakusema tupunguze gharama tuikarabati stesheni ya mjerumani ?
Kwanza kuvunja tu lile jengo la kihistoria ni upunguwani kinyume cha sheria ya mambo ya kale.
Jengo lenye historia ya treni Tanganyika unaenda kulivunja na kujenga fremu za vioo !
Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya mtu mmoja asiejua historia asiejua thamani ya vitu vya kale. Ni eneo la utalii kwa wajerumani.
Kuna jamaa alisema ukitaka kujua historia ya Tanganyika nenda Museum za Ujerumani, UK , Ureno na Oman.
Na mwengine alisema asie thamini historia yake ni mtumwa
Upumbavu in Mkapa words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalilia Historia ya Wakoloni ambao wamekataa kukupa fedha za SGR kisa tu reli yao iliyopitwa na wakati ibaki for their grandiose cum imperialistic pride to stay. Mbona yeye kaondoa MGR Ujerumani nzima? Emancipate ur slavery mentality fool!
 
Hivi huwa mnakuwa mmetumia vitu gani kabla ya kupost upupu humu. Hivi wewe uliyekaa nyuma ya keypad au keyboard unaweza kuwa unajua kuhusu mahitaji ya station kuliko akina Kadogosa siyo. Hii kitu ndiyo sababu hata Jamaica hukataza.
 
Unalilia Historia ya Wakoloni ambao wamekataa kukupa fedha za SGR kisa tu reli yao iliyopitwa na wakati ibaki for their grandiose cum imperialistic pride to stay. Mbona yeye kaondoa MGR Ujerumani nzima? Emancipate ur slavery mentality fool!
Fool it is you.
Kuvunja jengo la kihistoria unaona ni sawa ni kukataa ubeberu ila kutumia treni ya beberu pia sawa
Basi ngoeni yote kama huko ujerumani.
Juzi Arusha mkakusanya watu mitaani kufufuka reli ya beberu.
Yaani ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…