Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hivi huwa mnakuwa mmetumia vitu gani kabla ya kupost upupu humu. Hivi wewe uliyekaa nyuma ya keypad au keyboard unaweza kuwa unajua kuhusu mahitaji ya station kuliko akina Kadogosa siyo. Hii kitu ndiyo sababu hata Jamaica hukataza.
Tuppo kujadili SGR Kenya vs SGR Magufuli hivo ondoa povu jibu hoja.
Mukitaka badilisha kichwa cha mada
Anyway tupeni tentative schedule Dar Moro lini tunaanza kupata uhondo. Ujue mwesi ww 9 sasa tupo nyuma gharama zinapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingi mbele kiza. Pia werevu mwingi huondoa maarifa. Wahenga waliponena haya walilenga watu kama wewe. Fungua akili uwe mwepesi kuelewa. Ukijifanya unajua kila kitu utaendelea kuwa hivyo hivyo. Wabongo wazungu huwaita watu kama nyinyi "much know".

Tofauti mojawapo kubwa baina ya hii treni ya umeme (EMU) na hizo garimoshi zinazotumika itakuwa frequency. Kwa mfano: Kwa mujibu wa TRC ni kwamba wanapanga Dar - Moro iwe na safari 6 - 12 kwa kwa siku iende irudi.

Sasa unajua kwa sasa hiyo treni ya dieseli inafanya tripu ngapi kwa wiki (maana siyo siku tena) baina ya vituo hivyo? Hii ina tafsiri ya kwamba treni itakuwa ikibeba abiria wachache wachache lakini kwa awamu nyingi. Ndiyo sababu vituo vidogo vya njiani vimekuwa designed kuhudumia wasafiri 80 tu kwa wakati mmoja. Arobaini waendaji na arobaini wengine washukaji.

Hivyo sahau kuhusu hizi nyomi zinazokuwapo stesheni siku treni inatimba Dar toka K Town au Rock City ikiwa na abiria waliojikusanya kwa siku tatu wakiisubiri. EMU zitakuwa na "behewa" 5 -8 tu mjomba.

Nimejitahidi kukuelewesha kuhusu dhana mojawapo ya zile zinazoelezea tija ya chombo cha usafiri, frequency. Tofauti zingine ni kuhusiana na mwendokasi (speed) na kuaminika (reliability). Kama hujaelewa hapo mzazi itabidi tu uende pale taasisi ya usafirishaji (NIT) ukapate shule kuhusiana na hizi kitu.
 
Asipokuelewa na hapo basi itabidi uanze kum-ignore....
 
Hapa ni southEast Lagos?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana ya maendeleo hiyo, hapo hayo majengo ambayo kwa mbali yanaonekana hovyo kutokana na kutokuwa na mpangilio mzuri wkt ni majengo ya hadhi yake yatatoka yote hayo.
 
Ndiyo maana ya maendeleo hiyo, hapo hayo majengo ambayo kwa mbali yanaonekana hovyo kutokana na kutokuwa na mpangilio mzuri wkt ni majengo ya hadhi yake yatatoka yote hayo.
Hakuna mtu normal anaweza ishi hapo,
Kibera like structures.
 
Hivi huwa mnakuwa mmetumia vitu gani kabla ya kupost upupu humu. Hivi wewe uliyekaa nyuma ya keypad au keyboard unaweza kuwa unajua kuhusu mahitaji ya station kuliko akina Kadogosa siyo. Hii kitu ndiyo sababu hata Jamaica hukataza.
Usiulize Swali la kijinga kama hili. Hao ma engineer na planners ni binadam na wanaweza kukosea au ku-overlook vitu flani. Mtu kuhoji haimaanishi anajua zaidi
 
Kumbe hizi ID mbili zinamilikiwa na mtu mmoja,

Hii hapa akijikuta Mtanzania akiponda miradi ya Tanzania,
Na hii hapa ndio ID yake ya kikunya,

Usiulize Swali la kijinga kama hili. Hao ma engineer na planners ni binadam na wanaweza kukosea au ku-overlook vitu flani. Mtu kuhoji haimaanishi anajua zaidi
Hapo juu alikuwa anabishana kupitia ID yake anayojifanya Mtanzania na reply ya chini yake ametumia ID ya kikunya badala atumie ile ya anayojifanya Mtanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si lazma muwe na same thinking.
Kila mtu ako na uhuru ya kutoa points zake.
Na ujue points zako si the best,kila mtu asikizwe.
Kutofautiana hoja siyo tatizo mkuu. Tatizo linakuja kwenye presentation ya data/facts. Hapo kuendelea kusikiliza mtu anayepotosha haiwezekani. It's either mtu analeta facts au awe mpole aulize. Kupotosha hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…