Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wengine wakikwama esigiara 100km wengine wako Nuclear mode.

There's levels to this shit[emoji23]View attachment 1542066
Hamchelewi kupigwa nyie watu. Sijui aliyewaroga kapotelea wapi. Mnataka nuclear facility project kuwa raised and operated by private sector, Africa hii. Mnakimbilia wapi na hizo BOT kwenye nuclear issues! Hamuishiwi vituko nyie watu.
 
Looking at catenary poles na upana wake inaonekana hapa station hii viaduct itakuwa na platforms mbili yaani two lines!
Kama unamaanisha njia za reli (tracks) ni sahihi. Hapo mwanzoni kwenye viaduct zitakuwa mbili.
 
Usiulize Swali la kijinga kama hili. Hao ma engineer na planners ni binadam na wanaweza kukosea au ku-overlook vitu flani. Mtu kuhoji haimaanishi anajua zaidi
Ni kweli hawako perfect na kuwakosoa siyo tatizo. Tatizo ni kuwakejeli na kujiona unajua kuliko wao. Kama alivyosemaga Mourinho, "Yes I was rude, but I was rude to an idiot". Kukejeli wanachofanya akina Kaogosa ni "very idiotic".
 
Unawaza pafupi sana. . Lakini Tu-assume kweli hizo ID mbili ni za mtu mmoja kama unavoashiria, but ina bearing gani na hoja husika?
Turudi kwenye mada....
Nilichokijibu ni sentensi hii hapa
Hivi wewe uliyekaa nyuma ya keypad au keyboard unaweza kuwa unajua kuhusu mahitaji ya station kuliko akina Kadogosa siyo.
Hili ni swali la kijinga coz mifano ya ma-engineer, architect na planners kukosea ipo mingi sana sasa ku-assume kisa ni professionals hawawezi kukosea ni ujinga.

Sasa wewe na https://www.jamiiforums.com/members/the-best-007.569706/ mnaweza mkaendelea kujadili ID za watu kama hicho ndo kinachowatekenya vizuri.
 
Jibu lako hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli hawako perfect na kuwakosoa siyo tatizo. Tatizo ni kuwakejeli na kujiona unajua kuliko wao. Kama alivyosemaga Mourinho, "Yes I was rude, but I was rude to an idiot". Kukejeli wanachofanya akina Kaogosa ni "very idiotic".
 
Ni kweli hawako perfect na kuwakosoa siyo tatizo. Tatizo ni kuwakejeli na kujiona unajua kuliko wao. Kama alivyosemaga Mourinho, "Yes I was rude, but I was rude to an idiot". Kukejeli wanachofanya akina Kaogosa ni "very idiotic".
Kama tunakubaliana kua inawezekana mtu wa kawaida akaona kitu ambacho professionals hawakuona then tuko pamoja na kwa maana hio sentensi yako nilioquote ni null and void.
Jibu lako hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Swali halikuwa la kijinga bali ujinga ulikuwa kwenye post niliyoinukuu. Aliyepost alidai Dar station iko very tight hivyo kuiweka ihudumie SGR na MGR kwa mpigo ni maamuzi na planning za hovyo!

Sasa hapo utasema kuna uzima kweli? Hapana kitu imetumika kichwani kweli? Ukitaka kujua kuna kitu alitumia mwambie aelezee ni kwa vipi hiyo station iko tight na haitatosha. Iko designed kuhudumia watu wangapi at per? Real demand itakuwa watu wangapi?

Yaani wewe unayeangalia kwa macho tena kwenye picha uone haitoshi wakati actual planners ambao wana real data wanaona inatosha. Hapo lazima kuna shida.

Pia inaonesha kuna wengine wamezoea tu kuona miundombinu ya kizamani. Siku hizi miundombinu mingi hujengwa kwa mfumo wa one stop point. Yaani kama ni station inahudumia mambo mengi kwa mpigo: Sgr, Mgr, Brt, etc
 
Kama tunakubaliana kua inawezekana mtu wa kawaida akaona kitu ambacho professionals hawakuona then tuko pamoja na kwa maana hio sentensi yako nilioquote ni null and void.
Elewa basi na wewe. Kukosoa siyo tatizo. Tatizo ni kukejeli. Ukikosoa wakati hauko well informed unaweza kueleweka kidogo. Tatizo ni kukejeli wakati uko less informed. Tuanze kuja na kamusi humu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama tunakubaliana kua inawezekana mtu wa kawaida akaona kitu ambacho professionals hawakuona then tuko pamoja na kwa maana hio sentensi yako nilioquote ni null and void.
Yah ata mm naamini ktk hilo ila wacha kukosoa vitu viko dhahiri shairi vina msaada kwa taifa.
 
Wakati brt inajengwa watu wengi tu wasio na utaalam wowte wa engineering
walihoji walichokua wanafanya pale jangwani..... kilichotokea ni mfano mzuri wa anachoongelea huyo jamaa.
Yah ata mm naamini ktk hilo ila wacha kukosoa vitu viko dhahiri shairi vina msaada kwa taifa.
Nafanisha Unachoongea na kusema tumsamhe jambazi anaeua watu kwa sababu anaipenda na kuijali familia yake
 
usimlaumu mkuu hayo ndiyo matunda ya ujobless waliyonayo wakenya........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukilinganisha SGR na Tazara kwa miundo mbinu bora Tazara is the best.ina majengo ya kiofisi ya kisasa hata kama imejengwa miaka 40 ilipita.
Ina main na sub stations classic zilizo zingatia ingezeko la watu na future.
Ina karakana zake za kutokasha sehemu nyingi.
Ina chuo chake cha kufundishia.
Hata control office ya shoka.
Sgr zaidi ya kuwa ni advnced railway dhidi ya Mgr na zaidi kwa uwezo wa kubeba mizig na stability lakini inajengwa ikiwa na very poor infrastuctures kwa maana ya station zake.
Nyengine zipo porini hakuna access ya abria kufika labda kwa miguu au boda.
Lakini why imekua hivi ?
ID yangu haihusiani na yoyote nyengine
 





MY TAKE
Nangoja route ya Dar-Lubumbashi na Dar-Kinshasha na mpango wa CRDB kufungua matawi DRC! Maana tayari Bandari ya Karema inajengwa na mpango wa wagon ferry na PAX ship upo budget hii 2020/2021!

JPM kadhamiria aisee!



nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Siyo mbaya, tumeshauriwa tuwavumilie hata mkipotosha na kuleta trash hapa janvini.
 
huo ni mtazamo wako ,,,,,sikupingi......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kama kuna la ziada unaweza kuongezea mkuu

karibu
 
Tatizo waTanzania wengi cant handle critism! Sijui ni malezi, ushamba, utoto au elim ndogo. Mtu anaacha kujadili point anaanza personal attack, Utaambiwa wewe sio mzalendo au sio mTanzania!
Napenda kutumia mfano wa BRT coz ni mfano ulio hai, walio hoji miaka hio waliambiwa maneno kama haya haya mara wasijifanye wanajua kuzidi ma-engineer, wao sio wazalendo, kambi la upinzani nkdk..
Lazima tutambue kua mtu anaweza akawa mzalendo na bado akahoji miradi ya kitaifa kufatana na analysis yake. WaTanzania tujitambue tuachane na hisia (emotions) sehem za kutumia logic.
Kuna msauzi mmoja anaeishi marekani anaitwa Trevor Noah, kwa wanaomfaham huyu jamaa, kwenye youtube channel yake ni critic mkubwa sana wa chama cha Republican, Donald Trump na serekali lakini ukisoma comments sijawai kukutana na inayomwambia aka critisize matatizo ya nyumbani kwao south Africa badala yake wana focus kwenye point aliyoiongea, wakukubaliana nae watakubaliana nae na wakumpinga watampinga based on alichokiongea sio utaifa wake. Huku ndo kukomaa kiakili.
Sitashangaa mtu kuja na mistari kama "hao wamarekani unaowasifia ndo wanafanya x, y, z!" Haya ndo maongezi typical ya wana vijiwe. Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea.
https://www.jamiiforums.com/members/lusematic.413388/
https://www.jamiiforums.com/members/geza-ulole.19620/ https://www.jamiiforums.com/members/simon.206493/ https://www.jamiiforums.com/members/ezz-chezz.41247/ https://www.jamiiforums.com/members/macos.10665/ https://www.jamiiforums.com/members/the-best-007.569706/ https://www.jamiiforums.com/members/babayao255.545870/
 

umesahau kubadilisha ID ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…