Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #8,141
😀 😀 😀 😀 ☝[emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀 ☝[emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ndio utamin huu mwaka lazima kieleweke...kama 15 ya mwezi kesho watafika ngerengere ...watakuwa wamepiga hatua nyingine kubwa mnooooRuvu bridges SGR Dar-Morogoro
Inawezekana sana maana kama tuta tayari lipo na kutandika reli baada ya subblast si kitu kigumu! Kwa maoni yangu kipande cha Stesheni-Pugu cha 19 km ndo bado kuna kimbembe maana bado madaraja (Shaurimoyo/Kawawa Road) na matuta (baada ya viaduct) hayajakamilika kwa ile viaduct ya 2.5 km!Hapo ndio utamin huu mwaka lazima kieleweke...kama 15 ya mwezi kesho watafika ngerengere ...watakuwa wamepiga hatua nyingine kubwa mnoooo
Ngoja tulione sindimba litachezwaje hapa mjini...lkn ukiangalia kweny viaduct wamefany pakubwa kilicho baki ni kumalizia pale gold star ile cable bridge, pia na pale chang'ombe nimeona kazi inaebdelea....ila naona kutoka kumaliza viaduct mpka pugu ndio badoInawezekana sana maana kama tuta tayari lipo na kutandika reli baada ya subblast si kitu kigumu! Kwa maoni yangu kipande cha Stesheni-Pugu cha 15 km ndo bado kuna kimbembe maana bado madaraja (Shaurimoyo) na matuta (baada ya viaduct) hayajakamilika kwa ile viaduct ya 2.5 km!
All I see is a slumNgoja tulione sindimba litachezwaje hapa mjini...lkn ukiangalia kweny viaduct wamefany pakubwa kilicho baki ni kumalizia pale gold star ile cable bridge, pia na pale chang'ombe nimeona kazi inaebdelea....ila naona kutoka kumaliza viaduct mpka pugu ndio badoView attachment 1554010
Keep crying little boy....because your jelous will kill you one day.....hope by now, you know we are not on the same level....so deal with your stupidy denials and be happy with that an upgrade MGR concrats folks[emoji1702]All I see is a slum
Hapa hatuongelei hzo habari, km una reli ya kufananisha na hii basi weka hapa twende sawa pia km una ushahidi wa kuhusu unafuu wa cost ya reli yenu ya diesel dhidi ya reli yetu ya stima weka hapa tuchambue.All I see is a slum
Ni kweli na hapa ni steel bridge pia ama?Ngoja tulione sindimba litachezwaje hapa mjini...lkn ukiangalia kweny viaduct wamefany pakubwa kilicho baki ni kumalizia pale gold star ile cable bridge, pia na pale chang'ombe nimeona kazi inaebdelea....ila naona kutoka kumaliza viaduct mpka pugu ndio badoView attachment 1554010
Apana nahisi apo itakuwa ile ya concrite bridge kama pale gerezanihapa ni steel bridge pia ama?
Kama hivihapa ni steel bridge pia ama?
Waache kuuweka usiku basi, muda wote wanangoja nini kuweka piers? mimi nilifikiri wanachomelea design steel structure mahali!
Tulia bhana. Hakuna cha usiku, kumbuka Hii ni SGR ya umeme. Ina taratibu zake.!!!Waache kuuweka usiku basi, muda wote wanangoja nini kuweka piers? mimi nilifikiri wanachomelea design steel structure mahali!
Tulia bhana. Hakuna cha usiku, kumbuka Hii ni SGR ya umeme. Ina taratibu zake.!!!
esigiara ni ze comedy show nakwambia, mara tuko 89% mara tumeweka historia............ mimi huwa naangalia conversations za wadanganyika kwa huu uzi na kucheka tu. Hakuna ajuaye mbele wala nyuma kwa huo mradi.Its getting boring to compare non existing stuff to Sgr in Kenya that's already working for the 4th year now.
It's so sad how indenial you are...!! soon treni zitakapoanza tutairudia hii comment yako utuambie ni ss hatuji mbele wala nyuma au ni ww ndo haujitambui...ni SGR au ww ndo Ze Comedy...Muda utaongea na muda ni mwalimu mzuri sana...hold ur breath, keep watching n keep the hate to yourself..esigiara ni ze comedy show nakwambia, mara tuko 89% mara tumeweka historia............ mimi huwa naangalia conversations za wadanganyika kwa huu uzi na kucheka tu. Hakuna ajuaye mbele wala nyuma kwa huo mradi.
Has Kunyaland built any electrical SGR since her own creation as a nation?[emoji23][emoji23] 173km unajenga kwa miaka 4 kwani ni dhahabu inatumika kuweka mataaluma?
Funny thing few to no danganyikas actually ask the government why? Kwanini sgr za inchi zingine zimeisha na yetu bado?
Wanaona Kenya tukipiga kelele wanadhani sisi wajinga. Bila hizi kelele na expose za media sgr ya Kenya ingekwama Voi tuambiwe kuna Simba Tsavo but inabidi wajenge tuu.
Criticism ni muhimu sana kwa maendeleo.
Hebu nioneshe hzo 173km hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] 173km unajenga kwa miaka 4 kwani ni dhahabu inatumika kuweka mataaluma?
Funny thing few to no danganyikas actually ask the government why? Kwanini sgr za inchi zingine zimeisha na yetu bado?
Wanaona Kenya tukipiga kelele wanadhani sisi wajinga. Bila hizi kelele na expose za media sgr ya Kenya ingekwama Voi tuambiwe kuna Simba Tsavo but inabidi wajenge tuu.
Criticism ni muhimu sana kwa maendeleo.
Heheheheheeee unajitekenya zen unacheka mwenyewe, kenya hakuna sgr bali kuna upgraded MGR but SGR ya kwanza EA ilijengwa Tz kuanzia mwaka 2017 (hv ndivyo watoto wetu na wenu watafundishwa shuleni miaka ijayo)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Any rail can be electrified dummy.
Kenya has sgr Tanzania doesn't. Kenya has carried more goods in her SGR than Ethiopia.
The success of a rail line is measured by freight carried.
show me one inch of electrified SGR in Kunyaland!Any rail can be electrified dummy.
Kenya has sgr Tanzania doesn't. Kenya has carried more goods in her SGR than Ethiopia.
The success of a rail line is measured by freight carried.