Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwahyo hapa tujue ww ni Macos au hydrogen [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
umesahau kubadilisha ID ndugu!
nilijua utajibu hivi ndo maana nikasema.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hujacheza mbali na nilichoongea
............ Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea.
Kwahyo hapa tujue ww ni Macos au hydrogen [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya ndo maongezi typical ya wana vijiwe. Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea
Yani mule mule!!
 
Zipo. Tena wapi escalator zkapeleka abiria ndani ya train kama sio ndani ya akili za mdanganyika pekee?

Tanzania hakuna SGR
Kwa akili nzito kama yako .....hakuna wa kupoteza mda kukujibu....pengine hata mana ya SGR hujui
 
yeah, Magu anajielewa sana.. rwanda ni mteja wetu kwa zaid ya 70% hivyo kaona aipitishe kwanza mwanza.. wakenya watamchukia sana, ile route (na mizigo )yao ya kwenda malaba, Uganda waisahau
Pia maeneo hayo yana watu wengi sana kulinganisha na maeneo mengine ya nchi, hivyo kuna uchumi mkubwa.
 
We might see 2 deals with diffrent contractors being signed at once ....Makutupora -Isaka and Isaka -Rusumo so that they end alomst muda sawa ...i d still give it to 2022 to see any construction starting tho.
May be Mwanza-Isaka n Isaka-Rusumo as Mwanza-Isaka tender is already floated!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…