Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,481
Alafu kuna watu wanafanisha na upgrade mgr[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa lazima waombe kusamehewa,vinginevyo, mchina anachukua govt parastatalsKwisha habari yao, c huwa wanasema hawajawahi shindwa kulipa deni? Kiko wapi ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Imagine walikuwa wanaendea loan nyingine! Aisee hawa majirani ni wendawazimu...Hapa lazima waombe kusamehewa,vinginevyo, mchina anachukua govt parastatals