Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapa ndipo treni ya umeme itasimamia yn mtu anatoka Dar asubuhi anawahi kunywa chai Morogoro af anarudi Dar kula chakula cha mchana bila kuchoka yn kitu hakina mtikisiko km ndege vile.

Tz bhn inatisha sana kimkakati, kule kwenye usafiri wa mabasi yamewekwa mastendi makubwa makubwa yenye kuzd mpk airport za nchi jirani cz watu wanakuwa wamechoka sn ila hz stesheni za sgr ni ndogo ndogo tena modern kabisa cz hazitaruhusu msongamano kabisa, wallahi watu waje wasome Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inafanana na Muthurwa marketπŸ˜‚πŸ˜‚
Hatujamaliza mmesha anza kulia...Subilieni ya Dodoma
Morogoro station (2nd largest in Danganyika) [emoji23][emoji23]View attachment 1600956
Kwa akili yako Morogoro Ni mji mkubwa kuliko Dodoma na Mwanza...?? Subilia za miji hiyo miwili ujeulie vizuri...🀣🀣🀣 Naombeni render ya Dodoma station walie vizuri..🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe wanazifatilia hizo updates
Yani wanawaza ile mbaya itakuwaje zikingia trains ....watatoweka Jf mwezi hawa kunguni [emoji1787][emoji1787][emoji849]
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…